Thubutu,View attachment 3198401
Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera.
Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani.
Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema LIAMZISHENI...
Nimesema humu mara nyingi Tanzania hakuna mwanasiasa mwenye watu kuna mashabiki tu tena wa mitandaoni ndio horizon yao.
Zuma alipokamatwa wafuasi wake walilianzizha na nchi ikatikisika au hapo Kenya mwanasiasa anaogopwa kwa kuwa wote hao wana watu.
Subiri tarehe 21 Januari ashindwe uchaguzi tarehe 23 januari mchakato wa kumfukuza Lissu uanze tufungue ukurasa mpya.