Ngoja tulambe asali sisiKamera 40 kwa milioni 514?
Hiyo kazi inaweza fanywa kwa milioni 60 tu. Hapo inamaanisha zaidi ya Milioni 400 za walipakodi zinaibwa.
Yes,Wanao lalamika kuhusu bei je wanajua kwamba ulinzi wa siri kwa kutumia CCTV unaweza kufanyika hata kama kuna Giza Totoro?
wanafanisha camera za majumba na hizi zinazofungwa kwenye miji kuna mmoja anasema camera moja china inauzwa laki 8 daah 😁😁😁
Duuh, TZS 514M yote kwa Kamera 40 tu? Na ukihoji zaidi ma-ccm yanahisi huna akili!Kulinda umoja na amani kwa kuliibia Taifa? Kweli mpo vizuri. Kamera 40 tu kwa Milioni 514?
Kweli CCM mpo vizuri kuliibia Taifa.
Mkuu hiyo pesa ndogo tuu watapiga hapo wanapata maji yao ya kunywaTupige hesabu kidogo.
Tuseme kamera zanunuliwa China kwa gharama ya 1 Kamera ni dola 1500 kwa bei ya chini.
Hivyo Kamera 40 X 1500 ni dola 60,000 sawa na shilingi milioni 155 na ushei.
Ukitaka quality zaidi yaani HDMI na iwe Dome na sio Static tuseme ni dola 2500
2500 X 40 = 100,000 sawa na Tshs 260 milioni.
Hivyo milioni 514 ni upigaji, kwani :
514-155 = 359 milioni.
au 514- 260= 254 ukiondoa gharama za vifaa inobaki ni lazima ipigwe.
Ukitoa gharama za usafirishaji, nyaya, vifaa vingine havizidi milioni 2
Inobaki ni lazima igawiwe.
ila kama inatosha hv.Haukuna matengenezo,?
Acha wivuYani hata camera moja ikiuzwa million maana yake camera 40 itakuwa ni million 40. DVR na Server ya kuhifadhi matukio hata wakinunua million 50 still watakuwa hata million 100 hawajafika🤣🤣🤣! Weka na infrastructure za million 100 kwa maana yale mamilingoti na cables.
Kama watatumia majengo marefu kama watu wa minara it fairs even cheaper. Hardly 200 million does the Job hio 300+ inayobaki watu wanaimeza zao safi tu.
Tafuta mzinga wako uwe unalamba asali mzeeDuuh, TZS 514M yote kwa Kamera 40 tu? Na ukihoji zaidi ma-ccm yanahisi huna akili!
Upo kwenye upigaji mkuu, hivi kwanini unatufanya watoto?zipo za hadi 30m gentleman,
yapo makanisa hapo dar yamejengwa kwa 2b, na yamefungwa kamera za usalama za kisasa zenye thamani ya 800m.
usalama wa maisha na uhai wa mwanadamu haulinganishwi na thamani ya kiwango chochote cha fedha gentleman 🐒
utoto ni kujitakia tu gentleman,Upo kwenye upigaji mkuu, hivi kwanini unatufanya watoto?
Usiwe na shaka Ndugu 👍🙌🫡Msisahau kwamba camera inaona na kutoa mrejesho pengine kwa kile kilicho onwa lakini hazikamati, je mmeandaa usafiri ama mgambo kwaajili ya hayo matukio?
Yumo ndani kabisa jikoni kunakofuka moshi 💨 ! Mazagazaga kwa kwenda mbele !Upo kwenye upigaji mkuu, hivi kwanini unatufanya watoto?
Wanasahau kwamba lazima kuwe na betri saidizi, (backup batteries),ambao ni mfumo wa juaYes,
kuna tatizo la uelewa na ufahamu juu ya mambo haya ya kiusalama na ndio maana mjadala unaweza kua mrefu zaid, na kujikuta mara tunaenda mbele mara nyuma n.k,
hata hivyo,
taratibu taratibu jamii itaelewa tu umuhimu wa usalama na namna ambavyo technologia inavyofanya kazi usiku na mchana 🐒
Kumbe mkisemwa muache wizi nyie mnachukulia ni wivu?Tafuta mzinga wako uwe unalamba asali mzee
Acha wivu
wenutoto ni kujitakia tu gentleman,
huna haja ya kubabaika na kushupaza shingo kupinga ukweli gentleman,
ulinzi na usalama wa watu, makazi na biashara zao ni muhimu zaid. Na uhai wa mwanadamu haulinganishwi na kiasi chachote cha fedha.
hivi ninyi wangwana,
Mnafahamu kweli mnachotaka?
Maana akifa mtu mnalalamika, ooh kuna uzembe wa kiusalama umefanyika, ulinzi na usalama ukiimarishwa hao tena vimbelembele mnalalamika,
Mnajielewa kweli ama ni kwa vile mnajua kusoma na kuandika na hako kabando ka jero,
basi ndio kushupaza shingo tu ng'we ng'we ng'we ng'we 🐒
wenzio wanajuwa camera zinazozungumziwa ni kama hizi za kwenye flem na nyumbautoto ni kujitakia tu gentleman,
huna haja ya kubabaika na kushupaza shingo kupinga ukweli gentleman,
ulinzi na usalama wa watu, makazi na biashara zao ni muhimu zaid. Na uhai wa mwanadamu haulinganishwi na kiasi chachote cha fedha.
hivi ninyi wangwana,
Mnafahamu kweli mnachotaka?
Maana akifa mtu mnalalamika, ooh kuna uzembe wa kiusalama umefanyika, ulinzi na usalama ukiimarishwa hao tena vimbelembele mnalalamika,
Mnajielewa kweli ama ni kwa vile mnajua kusoma na kuandika na hako kabando ka jero,
basi ndio kushupaza shingo tu ng'we ng'we ng'we ng'we 🐒
Setting up a surveillance system comprising of 4 high definition camers and their supporting components would hardly make one part company with 4000 dollars.Are these water resistance
cameras
What about the cost of CCTV monitoring room and