Doorbell unalinganisha na Public Camera mkuu.lππππππMitaani kwetu tulifunga ilitumika 2m na usheh tu...
Ova
No gentleman,Hahahaha
Najua kimoyo Moyo unasema kudadeki 500M? Haha
Shit hole country with asshole citizensnadhani ilifaa kua 1 billion kabisa,
kwasababu usalama wa Taifa na wananchi wake ni muhimu sana na gharama yake haipimwi kwa fedha
ni muhimu ikafahamika kwamba kwa nguvu na gharama yoyote ile usalama wa waTanzania utazingatiwa na serikali sikivu ya CCM gentleman bila mbambamba yoyote
Kwenye ten pasent hapo ndio msala, mkuu we huoni tunapigwa sana?unasahau taratibu za manunuz lazim bei huenda inapanda sabab kwa uzoef wangu procedure za procurement ndio kikwazo kokubwa sana cha miradi. kakitu kadogo tu kutokana na procedure kanakula hela na hela. hapo kamera unakuta ina price, price +vat bado labour charge. supervisions ya kipind cha mradi.10% ya wazee wa kaz ni kipimo cha utu. mambo ni mengi so hio bei ni sawa
Gharama ya Internet ni ya kila siku haiwezu kuwepo kwenye gharama za kufunga na hata iweje haiwezi kufanya gharama iwe Milioni 514.Doorbell unalinganisha na Public Camera mkuu.lππππππ
Hizo zinaitwa nn tu gugu hapa haraka na tufanye ulinganishi.
Kuna gharama zilizoambatana na hizo camera? Milingoti, nyaya, intaneti meintenesi, monitors, na wanaorikodi? For 2mTShs. Nipe hilo dili niwapigie lumumba ssa ivi turekebishe mkuu. π
xShit hole country with asshole citizens
Hata kama kwa cost ya kufa mtu ?sidhani kama kupoteza uhai na maisha hata ya mtu moja tukwasababu za kiusalama kudorora, inaweza kulinganishwa na milioni 514 au hata billion gentleman.
I think ilisha tangazwa na viongozi wetu kitaifa kwamba,
there will be no discussions katika suala la usalama wa watu, makazi na biashara zao.
umoja, amani na utulivu wa waTanzania popote walipo utalindwa kwa nguvu na gharama zote bila mbambamba za kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa
Siko mbali na kampuni nguli ya sstl kufunga camera cctv na tktk zingine...Doorbell unalinganisha na Public Camera mkuu.lππππππ
Hizo zinaitwa nn tu gugu hapa haraka na tufanye ulinganishi.
Kuna gharama zilizoambatana na hizo camera? Milingoti, nyaya, intaneti meintenesi, monitors, na wanaorikodi? For 2mTShs. Nipe hilo dili niwapigie lumumba ssa ivi turekebishe mkuu. π
Juzi nilikwenda pale Morogoro Rd (uhindini) pana duka la mhindi auza hizo kamera na ana za kisasa kabisa.Mitaa mingi ya uhindi,kisutu, Libya Street nk wDosi wamefunga wenyewe
Ova
vifaa vya ulinzi na usalama vitafungwa bila mbambamba yoyote gentleman,Hata kama kwa cost ya kufa mtu ?
Acha kutisha watu wewesidhani kama kupoteza uhai na maisha hata ya mtu moja tukwasababu za kiusalama kudorora, inaweza kulinganishwa na milioni 514 au hata billion gentleman.
I think ilisha tangazwa na viongozi wetu kitaifa kwamba,
there will be no discussions katika suala la usalama wa watu, makazi na biashara zao.
umoja, amani na utulivu wa waTanzania popote walipo utalindwa kwa nguvu na gharama zote bila mbambamba za kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa
Umoja, amani na utulivu wa waTanzania wote Taifa katika kila kona na pembe ya nchi yetu, vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote bila kujali kelele au mdomo wa kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa nchini.
Acha kutisha watu wewe.... Umoja gani wa kisΒ£ngΒ£ kiasi hicho.Umoja, amani na utulivu wa waTanzania wote Taifa katika kila kona na pembe ya nchi yetu, vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote bila kujali kelele au mdomo wa kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa nchini.
Hao SSTL ndo wataalam kwa sasa.Siko mbali na kampuni nguli ya sstl kufunga camera cctv na tktk zingine...
Mitaa yetu baadhi walituwekea
Ila camera zimeenda shule na syo door bell cam
Ova
Mapovu ya nn ww mzee? Unalea wajukuu nn?Acheni ujinga! Hivi mnafikiri mnaongea na vilaza humu?
Tangu lini gharama ya Camera 40 ikawa milioni 514? Ni Camera zipi hizo zenye twknolojia ipi hiyo ambayo hatuifahamu yenye thamani hiyo?
Hili ni jukwaa la great thinkers. Msifikiri huku ni huko Facebook au Insta walipojaa wajinga
Kama hata hujui ni camera zipi, teknolojia-tena ambazo hufahamu thamani yake, unawezaje kusema huo ni Wizi? Unataka ufanyike uasi kwanini?Tangu lini gharama ya Camera 40 ikawa milioni 514? Ni Camera zipi hizo zenye twknolojia ipi hiyo ambayo hatuifahamu yenye thamani hiyo?
Sstl wako vzr na wana cam bora kabisa.....Hao SSTL ndo wataalam kwa sasa.
Hapa nilipo Kibaigwa watanifungia tokea getini na kuzunguka uzio maana nikiwa busy nafuatilia masuala ya kidunia napendelea kusiingie hata kainzi.
Uzio pia wameniwekea "detectors" ambazo hata nyoka akijaribu kupanda ujumbe huenda kwenye LDC monitor na naona kila kitu.
ni ukweli mtu gentleman,Acha kutisha watu wewe
Acha kutisha watu wewe.... Umoja gani wa kisΒ£ngΒ£ kiasi hicho.
Kuna gharama zilizoambatana na hizo camera?Siko mbali na kampuni nguli ya sstl kufunga camera cctv na tktk zingine...
Mitaa yetu baadhi walituwekea
Ila camera zimeenda shule na syo door bell cam
Ova