Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514

Mpuuzi wewe, unajua hizo kamera ni za viwango gani?. Milioni 514 unaona ni pesa nyingi sana?. Punguza malalamiko ya kitoto.
Onesha upuuzi wangu kwa kusema ni Camera za namna gani na zina gharama gani?

Acha uzwazwa kutetea wizi wenu.
 
Hizo camera zina mbunye hadi ziwe ghali kiasi hicho. Nimeangalia Alibaba camera arubaini hazifiki hata dollars 500. Million 1.5 madaf. Tumepigwa mchana kweupe.
 
Tunapigwa mchana kweupe.
 
Sawa wewe ulitaka iwe bei gani Ili ihesabiwe hamjapigwa?
 
Kwanza ikiwa Taasisi ya Serikali ndo watu hawawezi kuweka cha juu ili kuiba? Hujui mwaka wa uchaguzi huu? Watu wanaiba kwa ajili ya kuchangia uchaguzi na wengine wanaiba wanadhani baada ya uchaguzi watakuja viongozi wengine hivyo wachukue chao mapema!
 
Na bado wapo wanaoimba ccm hoyee.mitano tena. Ni mapunguani kabisa.
Gharama za kufunga na kusimamia ni vitu viwili tofauti!

Huwezi kufunga Camera 40 tu kwa milioni 514. Huo ni wizi na dharau kubwa kwa walipa kodi wa Taifa hili.
 
Dunia sasaivi ni kijiji
Tuambie hapa ni Camera zipi zenye telnolojia ipi? Tunaweza hata ku Google hapa na kupata gharama yake.
 
Sasa hiyo hera si mngewapa vibaka wa kaliako kama mtaji ili waacha kuwaibia wanainchi kuliko nyie tena kuwa vibaka wa wanainchi
 
Haijalishi wataiba ama vip Ila mm nauliza Kwan kuwe na awamu katika kukamilisha Hilo swala Kwan wasimalize kabisa
 

Jamani jamani jamani yaani kamera moja kwa millioni 12.85!!!!
Nooohhh Noooohhhh Pls Lisu na hata CAG jamani njooni huku. This is too much.
 
Wewe unataka iwe bei gani? Kwa nini usijitokeze Hadharani Kwa Serikali uombe hiyo tenda Kwa mil.50?
Nitapataje hiyo tenda wakati tayari waahapewq hao!

Umeambiwa na watu wameangalia mpaka Alibaba gharama ya camera zote haiwezi kufikia hata Mil 50.
 
Huyu Jamaa sindo Asubuhi kaja na Mwijaku ??. Anamsifia mama na mbwembwe za Mwijaku.


Baadae anakuja na Mpango wa kupiga Hela ,hapo anajua Mama hatofocus kwakua Kijana kaanza Kwa kumsifia.
 

Siyo kwa wizi huu wa kamera moja kwa sh 12,850,000Tshs
Big NOOOOHHHH mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…