Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514

Kila moja ni sawa million 12
Yawezekana Zina uwezo mkubwa

Labda Zina uwezo wa KUKAMATa wezi zenyewe
 
Hawa jamaa inatakiwa kuwapinga kwa hoja..
Navyojua mimi kama zitafungwa Camera zenye brand hizi kubwa kwenye Camera hiyo pesa ni sahihi ila kama zitafungwa Camera zozote hapo ni tatizo maana kati ya vitu vilivyo na gharama kubwa ni pamoja na Camera na hasa hizi za Mtaani..
 


You see 'em blue lights in the air, cameras everywhere,We don't give a fvck, we still tipping.


LAPD - 24/7 Surveillance

=========
Labda kama watafanya kama Chicago ,including Monitoring inaweza kufika hizo cost.
 
Hardly gharama ya kufunga hizo Camera 40 haiwezi kuzidi Mil 50 na hapo nimeweka faida kubwa sana.
 
Kikubwa hapo wazifunge waache janjajanja

Ova
 
Nzuri hii. Nimeipenda
 
Umoja, amani na utulivu wa waTanzania wote Taifa katika kila kona na pembe ya nchi yetu, vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote bila kujali kelele au mdomo wa kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa nchini.
Ntu analeta hoja ya msingi! Badala ya kutoa ufafanuzi kama unao, wa kwa nini gharama ni kubwa sana! Wewe unaleta taarabu. Mifi wewe.
 
Ntu analeta hoja ya msingi! Badala ya kutoa ufafanuzi kama unao, wa kwa nini gharama ni kubwa sana! Wewe unaleta taarabu. Mifi wewe.
Gentleman,
hiyo gharama ni kidogo mno ukilinganisha na thamani ya ulinzi na usalama wa uhai na maisha ya waTanzania kwenye makazi na biashara zao,

nadhani pia kamera 40 ni chache mno ukilinganisha na uchumi unaotengenezwa kk🐒
 
waafrika kwa kudandia mambo🤣🤣🤣🤣sasa wale wamachinga wanaopanga bidhaa barabarani na mbele za mafremu wameshindwa kuwatoa ili mji uwe na mpangilio kuwezesha muingiliano salama kati ya wauzaji na wanunuaji.Haya ya camera ni unnecessary!!!

Ukiwa unatoka mkoani ukafika pale mbezi terminal stand😣😣😣😣 unapata picha halisi ya mtu mweusi na namna future yake ilivyo hopless.Vibanda vimezagaa hovyohvyo upande wa pili wa vidaladala ni kero juu ya kero.Anyway hii laana ya mtu mweusi ni ya milele🙌🙌🙌
 
Wanechelewa washuke zanzibar wakirud watasema hyo kidogo
 
NINI MNATAKA MAZEEEEEEEEEEE.....................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…