Kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, hapo hapo ametoa talaka; hakuna kubembelezana

Changamoto za kimaisha zinawapelekea kutafuta wenye hela, na matokeo yake anakuja kuchepuka na asiye na hela ili apelekewe moto mkali.
 
The problem begins when a woman tries to mold a man into the delusional fantasy she has in her mind; a man that worships the ground she walks on, a man that will sell his his dignity to get her an iPhone X
 
Mwanamke akichepuka jua maisha yako mwanaume yako hatarini sana, ikitokea nafasi ya kukuua akuondoe anakuondoa.✍️✍️
 
Sema hizi kampeni za KATAA NDOA zina upiga mwingi na ajenda zao za NDOA NI UTAPELI,KATAA NDOA uwe HURU,KATAA NDOA ili kijilinda na Magonjwa nyemelezi kama KISUKARI,PRESHA za kupanda na kushuka,BIPOLAR,SONONA,USONJI,magonjwa ni mengi ambayo yana sababishwa na NDOA.

Nadhani ni wakati sahihi kwa wababa na Vijana wa kiume humu kuunda umoja wa kukutana na kuzungumzia maswala haya ya ndoa kwa maana mambo sasa yanazidi kuwa magumu.

Kwa wale ambao tayari wapo kwenye ndoa na wale ambao bado ni vyema wote tukae chini kujuwa mbivu na mbichi vinginevyo tutakuja kutengeneza jamii ya hatari sana mbeleni kwa vizazi vijavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…