Kamfuma mkewe na mwanaume mwingine, hapo hapo ametoa talaka; hakuna kubembelezana

Msaliti sio wa kumsamehe
Nikijua mwanaume kachepuka tunaachana bila mazungumzo yoyote
Akioa je??
Haijaandikwa kuwa mwanaume aachwe kisa usaliti, nb mwanaume anaweza akaoa wanawake laki moja ni uwezo wake tu, sie tumeumbwa to faki and find living for our faking consequences.
Wewe umeumbwa uzae na ulee mengine ni mbwembwe zenu
 
Beauty has sent a lot of girls to marriage but character is busy returning them to their father's house.
 
Kuna wengine wanawafuma 'live' kwenye tendo, lakini wanashindwa kuachana.
Wakati mwingine ni sawa tu, waulize mashabiki wa MAN UNITED, wanatamani kumrudisha SIR. ALEX FERGUSON πŸ˜‚ unapoacha una uhakika wa kupata mbadala aliyebora zaidi ya uliyenaye? tuweke jazba kando, hizi mbanga zinahitaji busara na hekima ya hali ya juu sana, la sivyo waweza poteza zaidi
 
Ungeuliza na sababu yakuchepuka, kuna mmojΓ  alimfumania mkewe alivyobanwa kwanini anamdharirisha mmewe? Kajibu huu mwaka wa 8 hakuna tendo la ndoa nimevumilia miaka yote hiyo na kila nikimwambia hana jibu anakuja juu sasa nifanye nini? Mme kiulizwa akakosa jibu wakaambiwa rudini nyumbani mkayamalize wawili πŸ˜πŸ˜πŸ˜„
 
Kamuacha huyo aliyemfumania , halafu na yeye anaenda kuoa aliyeachwa Kwa uzinzi, na anamketa hapo na anazaa na mwanaume mwingine akiwa hapo hapo ndani na akiwatesa wanaye.

Maisha ya ndoa hayana mfumo maalumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…