Kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani

Wazalendo_Tz

Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
18
Reaction score
27
Wakuu nina rafiki yangu jana kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani ambaye kazi yake ni kukata majani na kulisha ng'ombe.

Jamaa aliambiwa na marafiki zake na yule kijana kuwa mkeo analiwa na huyo kijana wako, jamaa akatengeneza mtego akafika usiku alipofungua mlango alikuta mke yuko peke yake kitandani lakini yuko uchi.

Jamaa alihisi kuwa hapa kuna kitu kinaendelea akamuambia mkewe njoo tusex alipoweka akakutana na shahawa akamuuliza mbona kama umetoka kulombwa akakataa baada ya kumbana sana alikubali jamaa akamfukuza kabisa mfanyakazi wake hapo ndani na jamaa amesafiri kwenda mbali kupumzisha akili ili aje afanye maamuzi bila hasira na cha ajabu zaidi huyo mkewake amekaa nae kwenye ndoa miaka 5 na amekua msimamizi mkuu wa maduka yake.

Ameniomba ushauri nini afanye.

Tumsaidie wakuu
 
Huyo mwanamke hana shingo ya uzazi kiasi kuwa bwana gardener alimwaga kwenye mashavu ya kadudu kake ?

Aligunduaje kuwa ni shahawa za mwanamme mwenziye ilihali zile nyeupe wanaita wazungu watoto wa tandika ,uwa zinaenda moja kwa moja kwenye shingo ya uzazi na ni maji maji ya shahawa yanayobaki hivyo pasina kufanya vipimo maalumu unaweza kuyaita ni ute wa kulainisha tendo unaotokea mwanzoni au katikati ya tendo la raha ?

Kaka embu njoo tena unieleze kwa kina jinsi huyo rafiki yako mwanasayansi alivyoweza kujua hizi ni shahawa ,na shemeji hakunawa kabisa wala kujifuta kabisa ?
 
Amwache tu,hakuna ushauri tofauti na huo kwenye fumanizi mkuu,hata bachelor Jesus aliwahi kusema"usimwache mkeo Kwa kosa lolote lile ila uzinzi"Hilo halina comeback Wala kutuliza akili!!!
 
Mkuu kwa upand wangu msaliti hana nafasi,mwachie nyumba na Mali baadhi kwa watoto,then anza maisha mapya.NOTE: AMANI NA UTULIVU WA MOYO “NASFI” nibola sana kuliko kufa na tai shingon
 
Huyo mwanamke hana shingo ya uzazi kiasi kuwa bwana gardener alimwaga kwenye mashavu ya kadudu kake ?

Aligunduaje kuwa ni shahawa za mwanamme mwenziye ilihali zile nyeupe wanaita wazungu watoto wa tandika ,uwa zinaenda moja kwa moja kwenye shingo ya uzazi na ni maji maji ya shahawa yanayobaki hivyo pasina kufanya vipimo maalumu unaweza kuyaita ni ute wa kulainisha tendo unaotokea mwanzoni au katikati ya tendo la raha ?

Kaka embu njoo tena unieleze kwa kina jinsi huyo rafiki yako mwanasayansi alivyoweza kujua hizi ni shahawa ,na shemeji hakunawa kabisa wala kujifuta kabisa ?
😅😅🙌
 
😁😁😁😁
 
Mkuu kwa kawaida hata wanaume wengi tunajua jinsi inayvokua kama tumelomba round ya kwanza tukirudia tena kuna ile hali nafikiri unaijua sasa alikuta hali hio
 
Wakuu nina rafiki yangu jana kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani ambaye kazi yake ni kukata majani na kulisha ng'ombe.

Jamaa aliambiwa na marafiki zake na yule kijana kuwa mkeo analiwa na huyo kijana wako, jamaa akatengeneza mtego akafika usiku alipofungua mlango alikuta mke yuko peke yake kitandani lakini yuko uchi jamaa alihisi kuwa hapa kuna kitu kinaendelea akamuambia mkewe njoo tusex alipoweka akakutana na shahawa akamuuliza mbona kama umetoka kulombwa akakataa baada ya kumbana sana alikubali jamaa akamfukuza kabisa mfanyakazi wake hapo ndani na jamaa amesafiri kwenda mbali kupumzisha akili ili aje afanye maamuzi bila hasira na cha ajabu zaidi huyo mkewake amekaa nae kwenye ndoa miaka 5 na amekua msimamizi mkuu wa maduka yake

Ameniomba ushauri nini afanye.

Tumsaidie wakuu
Bro tumia tafsida kidogo!
Ushauri wa nini tena, nyie Gen Z,?
Piga chini, oa mwingine, au samehe
 
Mkuu kwa kawaida hata wanaume wengi tunajua jinsi inayvokua kama tumelomba round ya kwanza tukirudia tena kuna ile hali nafikiri unaijua sasa alikuta hali hio
Napingana na wewe kaka .
Ukipata muda nenda kalale na mwanamke ambaye ametoka kwenye siku zake walau siku mbili au tatu nyuma njoo hapa usome ulichoandika ili tuwaze tena kuwa shemeji alitoka kwenye siku zake au alikuwa amelalwa na gardener .

Ukikosa hiko kitu ninachokueleza basi kalale na mwanamke aliye kwenye dozi ya aina yoyote kwa muda mrefu alafu rudi tena tujadili hili la shemeji
 
Back
Top Bottom