Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Ni wewe bana 😃😃😃
Yeye ndiyo muhusika kaja na ID mpya.Acha Kiki yani uwe na rafiki mwenye maduka halafu akuombe ushauri wewe ulie join Jana humu😆😆😆
Hopeless kabisa Labda weka handout yako ya zamani hapa😅
Shida sisi wa aina hii ,tunayajua haya kwa maneno na uchunguzi tu ukija kwenye sita kwa sita tunaishia kutoa macho tuNaomba uniwowe😅
Mbona kama unajua vingi wa kwetu🤣🤣
Kuchapiwa ni siri ya ndani by Rich Mavoko.Wakuu nina rafiki yangu jana kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani ambaye kazi yake ni kukata majani na kulisha ng'ombe.
Jamaa aliambiwa na marafiki zake na yule kijana kuwa mkeo analiwa na huyo kijana wako, jamaa akatengeneza mtego akafika usiku alipofungua mlango alikuta mke yuko peke yake kitandani lakini yuko uchi jamaa alihisi kuwa hapa kuna kitu kinaendelea akamuambia mkewe njoo tusex alipoweka akakutana na shahawa akamuuliza mbona kama umetoka kulombwa akakataa baada ya kumbana sana alikubali jamaa akamfukuza kabisa mfanyakazi wake hapo ndani na jamaa amesafiri kwenda mbali kupumzisha akili ili aje afanye maamuzi bila hasira na cha ajabu zaidi huyo mkewake amekaa nae kwenye ndoa miaka 5 na amekua msimamizi mkuu wa maduka yake
Ameniomba ushauri nini afanye.
Tumsaidie wakuu
Swali zuriNaukataa uongo, kwa hyo shahawa zilibaki zimeganda hapo?
😅😅😅 mshenzi sana wewe najua pakukupata ni vile umehamaShida sisi wa aina hii ,tunayajua haya kwa maneno na uchunguzi tu ukija kwenye sita kwa sita tunaishia kutoa macho tu
Wakwetu 🙌😅😅😅 mshenzi sana wewe najua pakukupate ni vile umehama
😀😀Kuna kundi la wageni wameivamia JamiiForums na story zao nyingi za kufikirika. Wachangangiaji mnatakiwa kuwa makini sana. Msisombwe kirahisi na upepo wa kisulisuli.
Wana watoto?Pole yake amsamehe walee watoto
Sijui 😅Wana watoto?
Te te te guudubayiSijui 😅
Umeongea facts sana mzeeAtulize kichwa kwanza, aone ni wapi tatizo linatokea ..
1. Pengine ni mlevi hivyo hana muda wa kutosha na mke wake (jioni/usiku)
2. Aweza kuwa hatimizi jukumu lake la ndoa sawa sawa
3. Pengine anakaa mbali na mke/anasafiri mara kwa mara
kufukuza mke inaweza kuwa sio suluhisho kama hatajua kwanza ni nini kinasababisha...
Kumbuka; Kuna wanawake wapo active.... wanataka dudu kisawasawa na sio kuonja onja...
WAKUFUKUZA KWANZA NI KIJANA WA KAZI
Shahawa zilivyo na harufu Kali mbona sio Kaz ngumu kujua. Pia mwanamke ukimwagia ndani mbona ukitoa tu uume nje na shahawa kiasi lazima zimwagikie nje, akijikakamua uchi kidogo tu zinamwagika nje.Huyo mwanamke hana shingo ya uzazi kiasi kuwa bwana gardener alimwaga kwenye mashavu ya kadudu kake ?
Aligunduaje kuwa ni shahawa za mwanamme mwenziye ilihali zile nyeupe wanaita wazungu watoto wa tandika ,uwa zinaenda moja kwa moja kwenye shingo ya uzazi na ni maji maji ya shahawa yanayobaki hivyo pasina kufanya vipimo maalumu unaweza kuyaita ni ute wa kulainisha tendo unaotokea mwanzoni au katikati ya tendo la raha ?
Kaka embu njoo tena unieleze kwa kina jinsi huyo rafiki yako mwanasayansi alivyoweza kujua hizi ni shahawa ,na shemeji hakunawa kabisa wala kujifuta kabisa ?