Kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani

Kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani

Wakuu nina rafiki yangu jana kamfumania mke wake na mfanyakazi wake wa bustani ambaye kazi yake ni kukata majani na kulisha ng'ombe.

Jamaa aliambiwa na marafiki zake na yule kijana kuwa mkeo analiwa na huyo kijana wako, jamaa akatengeneza mtego akafika usiku alipofungua mlango alikuta mke yuko peke yake kitandani lakini yuko uchi.

Jamaa alihisi kuwa hapa kuna kitu kinaendelea akamuambia mkewe njoo tusex alipoweka akakutana na shahawa akamuuliza mbona kama umetoka kulombwa akakataa baada ya kumbana sana alikubali jamaa akamfukuza kabisa mfanyakazi wake hapo ndani na jamaa amesafiri kwenda mbali kupumzisha akili ili aje afanye maamuzi bila hasira na cha ajabu zaidi huyo mkewake amekaa nae kwenye ndoa miaka 5 na amekua msimamizi mkuu wa maduka yake.

Ameniomba ushauri nini afanye.

Tumsaidie wakuu
mwambie kulombewa ni kawaida mkuu muhimu mke sii bado yupo hapo bwana. kanini ni ile ile mwanawane. umelombewa unalombewa utalombewa. ndio maisha ya mwanaume ukiwa na mwanamke
 
Atulize kichwa kwanza, aone ni wapi tatizo linatokea ..
1. Pengine ni mlevi hivyo hana muda wa kutosha na mke wake (jioni/usiku)
2. Aweza kuwa hatimizi jukumu lake la ndoa sawa sawa
3. Pengine anakaa mbali na mke/anasafiri mara kwa mara

kufukuza mke inaweza kuwa sio suluhisho kama hatajua kwanza ni nini kinasababisha...
Kumbuka; Kuna wanawake wapo active.... wanataka dudu kisawasawa na sio kuonja onja...
WAKUFUKUZA KWANZA NI KIJANA WA KAZI
ah ufukuze kijana wa kazi kivipi tena wakati yeye hana kosa mwenye kosa ni mkeo.....hapo wala hamna shida ni sula la kukubaliana tuu kwamba bwana mdogo utakuwa unapasha mbususus ya mke wangu siku nisipokuwepo. nikiwepo ujue zamu yangu
 
Back
Top Bottom