Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

sio mbaya kama ushakubalia hali zote au inawezekana haujapenda!
Unajua ngoja nikuambie kitu mdogo wangu Money Penny. Hapa duniani usipokua makini kuna watu wanaweza wakakuvurugia maisha bila sababu yoyote.

Mimi najua kila mtu ana madhambi yake ambayo asingependa jamii iyajue. Mfano kama mke wangu anachepuka, na anafanya kwa siri ili mimi nisijue, kwangu mimi huyo mke ananipenda na kuniheshimu sana ndio maana anafanya kwa kificho!

Sasa wewe unapomuona sehemu kajificha halafu unakuja kuniambia, we unataka nini kama sio kutufarakanisha?

Ujinga ni kujiaminisha kwamba wewe umeoa/lewa na malaika ambae hafanyi hayo mambo.
 
Mwambie amweleze mume wake amuoe kabisa ili wawe wawili ulinzi wa mume kuchepuka utaimarika maana watasaidia kumlinda
 
Ashukuru mumewe ni dume Haswa,,alitaka amfumanie mume wake anakazwa au??tena ampe pongezi rafiki yake Kwa kumsaidia majukumu mshauri wapige thrii samu itanoga kwa kuwa ni watu wanaofahamiana efectivli na Iwe Usiku wa mwaka mpya asikaze Sana shingo atapasuka bure!!
 
Mwambie asubirie mwaka mpya nae afumaniwe!!

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…