Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

NANI MDOGOWAKO SASA?
 
acha kutetea uzinzi
 
basi hujapenda!

Sema hayajanikumba.. ila rafiki labda niwe na mpango wa kumfanya Baya ndio niendelee aiseee. Hapo labda Siri zote amekuwa anampa anamrekodi.. amsikilizishe na mengine amuonyeshe mumewe..

Mimi ndoa yangu marafiki nawaweka mbali nayo.. kwanini wamzoee mume wangu.. ili iweje kwanza!!! Namba zao awe nazo za nini na kisa eeeeh πŸ€—
 
SAUWA
 
Usije kuta huyo shoga ake ndio ameandaz fumanizi ili mke aondoke abaki yeye, kwanza ukiona hauwezi kuacha acha kutengeneza fumanizi, utaumia maisha yako yoooye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi, hata nimkute mke wa rafiki au mume wa mtu ninayemjua, na mtu mwingine, SISEMII..!! Kama kimenikaba sana ntamwambia huyo anayechepuka ili ajirekebishe..!! Kumwambia mwenza wake unataka kitokee nini? Wakiuwana, huko kujisikia guilty hakutakutoka maishani mwako...!!

By the way, namshauri afanye haya;

1. Asiruhusu watu kumletea taarifa za kumuumiza. Hata taarifa ya msiba huwa tunasubiri mtu mpaka ale chakula ndo tunamwambia kwa kumuanzia mbali.

2. Aachane na maamuzi ya kuachana kama anayo. Ukiikimbia nchi kisa mvua inanyesha, mvua ipo kila mahali, tofauti ni majira tu ya kunyesha.

3. Asifikirie kulipiza kisasi. Kulipa kisasi huku unayemlipa hajui wala haikusaidii kumkomesha huyo mtu..!! AKidakwa ataonekana malaya tu..!!
 
Amsamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…