Mkuu, ukizungumzia kituo cha mafuta, wanakupa majibu simple, utasikia "...mkiona moto kimbilia ndoo za mchanga"Jeshi la zimamoto lina upungufu wa magari ya kisasa ya kupambana na moto serikali inabidi iwekeze sana kwenye hili jeshi,siombei lakini imagine kituo cha mafuta au gesi kinalipuka leo hii tutaweza kukizima kwa ustadi kweli au ndio tutabakia kusema Mungu atusaidie na sio kupambana na majanga ya moto kwa njia za kisasa zaidi ilikuokoa mali na maisha ya watu
Wale wa magari ya washawasha mbona huwa wanafaulu mapema sanaHalafu wamevaa ma
nyota kedekede
Labda moto wa sigara.Hivi kuna mission yoyote ya kuzima moto ambayo jeshi hili imewahi kufanikiwa?.
Kajengeni sanamu mzimu usije ukawageuka.Chadema badala ya kupigania magari ya kuzima moto yawe mengi hapa nchini na pia maji yapatikane.
Wanaona umuhimu zaidi kupigania mitukano ya hadhara.
Nani atanunua washawasha leo hii🤣🤣🤣Tuuze washa washa zilizoletwa kuushambulia upinzani ukifanya maandamano tuongeze magari ya zimamoto.
Kuna shida mahali kwenye haya mashirika ya ummaHalafu wamevaa ma
nyota kedekede
Maji yakitumika lazima yaishe na yanapoisha lazima yakajazwe kwenye gar.Me nilijua gari la zimamoto linakuwa stand by na maji ikitokea dharula linakimbia haraka kwenye tukio kumbe ikitokea hatari ndo gari linaanza kutafuta maji???
Imagine wanafuata maji JNIA, ina maana hata hata ofisini kwao mita chache toka Kariakoo hawana hydrants,Jeshi la zimamoto lina upungufu wa magari ya kisasa ya kupambana na moto serikali inabidi iwekeze sana kwenye hili jeshi,siombei lakini imagine kituo cha mafuta au gesi kinalipuka leo hii tutaweza kukizima kwa ustadi kweli au ndio tutabakia kusema Mungu atusaidie na sio kupambana na majanga ya moto kwa njia za kisasa zaidi ilikuokoa mali na maisha ya watu
Me nilijua gari la zimamoto linakuwa stand by na maji ikitokea dharula linakimbia haraka kwenye tukio kumbe ikitokea hatari ndo gari linaanza kutafuta maji???