Yafungwe tela la maji nyuma kama tank za mafutaSiku zote huwa yanakuwa na maji tayari ya kuanzia , yanasubilia tukio, ila sasa yakiisha hayo aliyo nayo sehemu ya kuchukulia mengine ndio balaaa!!na yale magari yao akifungua tu koki, lita 15, 000 ni dakika 5 tu yameisha!!ndio pale WANANZENGO, wanasema limekuja na maji nusu!!nayule aliyoko mbali na tukio ila aliliona gari likielekea kwenye tukioa, atakwambia gari limekwenda bila maji!!kwani anaona ndani ya dk 10, limegeuza!!!kwa moto mkubwa maji hayaepukiki kamwe, hizo chemikali lazima zitachanganywa kwenye maji kutegemeana na kundi la moto.
Mtauzima kwa kuupulizaNafikiria ikiwa yametumika masaa 6 kuudhibiti moto mita 300 tu toka fire headquarters je sisi wa kisemvule,bunju, na chamazi itakuwaje?
Kwani maji ya bahari hayafai kuzimia moto?Kamishna Jenelari wa Zimamoto John Masunga amesema walichelewa kuuzima moto ulioteketeza soko la Kariakoo kwa sababu walilazimika kufuata maji Air port kule Kipawa.
Masunga amesema Kariakoo yote haina matoleo ya maji
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Na fala mwingine anataka kutumia million mia mbili kununua taa za ofisi usikute hata ofisi yake haina fire extinguisherHalafu kuna wapuuzi wanataka kujenga sanamu kwa milioni 420.
Kwa hiyo hata ofisi yake hapo fire hana hydrants wakati magari yanaishi hapoKamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga amesema sababu ya kuchukua muda mrefu kudhibiti moto katika Soko la Kariakoo ni kutokana na kutokuwa na sehemu za kuchukulia maji ndani ya Kariakoo hivyo iliwalazimu kuyafuata Airport.
Changamoto ya mfumo wa maji uliopo katika eneo la Kariakoo umetajwa kuwa chanzo cha moto uliozuka katika Soko Kuu la biashara Kariakoo kutodhibitiwa mapema.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limesema lilitumia saa sita kudhibiti moto huo kutokana na kufuata maji umbali mrefu kutoka Kariakoo mpaka Airport.
Huyu wa taa ni yupi tena! Viongozi wetu wameingiwa na ugonjwa gani!?Na fala mwingine anataka kutumia million mia mbili kununua taa za ofisi usikute hata ofisi yake haina fire extinguisher
Wa TemekeHuyu wa taa ni yupi tena! Viongozi wetu wameingiwa na ugonjwa gani!?
hayo lazima wayatunze wasikie chadema wanakikao tu unasikia wameshafika na gari hata kumi 😂😂Kila siku hawana maji ila (maji ya kuwasha-washa yapo)
Hahaa!!Sasa mkuu kwenye tukio litaweza kuwahi ?Yafungwe tela la maji nyuma kama tank za mafuta
Na wanavoomba kupishwa njia huko barabaran mpk keroWale wa magari ya washawasha mbona huwa wanafaulu mapema sana
Yule dada X wa kiba na daimondHuyu wa taa ni yupi tena! Viongozi wetu wameingiwa na ugonjwa gani!?
Kusema ukweli tumerogwa!Yule dada X wa kiba na daimond
Tatizo siyo magari , tatizo ni majiKutoka fire mpaka Kariakoo hata 2KM hazifiki na magari yapo ya kutosha, kweli jamaani mnashindwa kuzima?
Huelewi nini wakati wakuu wote wamesema hivyo?We babu jiheshimu, magari yote hayo yanakosa maji?