Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Hii hapa chini..
Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...www.jamiiforums.com
😆😆😆😆😆Serikali ya Zanzibar ichutame tu. Polisi huyu hapa akikiri kuwa kawakamata watu 12 kwa kosa kula mchana.
View attachment 2951604
Sasa chukueni hii taarifa mpya ya Bangi , huko mwanzo walinukuliwa vibayaNa Kuna DC alitolea ufafanuzi aina ya kosa litakalowatia hatiani hao watu 12 waliokamatwa wakila mchana. Akasema watashitakiwa kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoikerahisha jamii.
Kula mchana wakati wa mwezi mtukufu ni kuikerahisha jamii. Akalinganisha na kitendo cha mtu kuvua nguo na kuamua kutembea uchi barabarani.
Duuh! Nchi ngumu sana hii.Sasa chukueni hii taarifa mpya ya Bangi , huko mwanzo walinukuliwa vibaya
Kuna muhafidhina mmoja alikuja hapa akitetea ile habari ya watu kukamatwa kwa kula mchana mwezi wa Ramadhani, akidai kuna sheria hiyo, nikamtaka aiweke hapa.Wameona yanini kelele yawe mengi ngoja tupindue kesi 😂
Mbona zenji bangi,unga unavutwaMimi nilijua tuh,kumbe makafiri walikamatwa na bangi wakasingizia wanapigwa eti kisa kula mchana,hovyo kabisa hao
Hahaha..Sasa chukueni hii taarifa mpya ya Bangi , huko mwanzo walinukuliwa vibaya
Wamenukuliwa vibaya mpaka msemaji wa serikali naye hajahakiki habari?Sasa chukueni hii taarifa mpya ya Bangi , huko mwanzo walinukuliwa vibaya
Tena sio kudanganya tuu bali kudanganya ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhanKudanganya sio dhambi?
Hiyo bangi wamewekewa mifukoni na kuwabambikiza kesi.Hii ndio Taarifa mpya kutokea huko Zanzibar , kwamba zile kelele kwamba kuna watu walikamatwa kwa kula mchana wa Ramadhan ulikuwa Uzushi tu wa wale wasioitakia mema Nchi hiyo
Habari mpya ni kwamba wale jamaa walikamatwa na Msuba , Bali bado hatujajua na ile Hotel ya kitalii iliyopigwa faini kwa wageni wake kula hadharani nao walidakwa na nini .
View attachment 2951549
Ayaaa weeeee !!! Noma kweli yaani !Tena sio kudanganya tuu bali kudanganya ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhan
Hawa polisi tanzania wanafanya uhuni sasa. Wanawabambikizia kesi feki ili wasiwaachie huru..Leo wamekuwa wavuta bange tena?,wamebadili gia angani.
Mashada tupu hayoHii ndio Taarifa mpya kutokea huko Zanzibar , kwamba zile kelele kwamba kuna watu walikamatwa kwa kula mchana wa Ramadhan ulikuwa Uzushi tu wa wale wasioitakia mema Nchi hiyo
Habari mpya ni kwamba wale jamaa walikamatwa na Msuba , Bali bado hatujajua na ile Hotel ya kitalii iliyopigwa faini kwa wageni wake kula hadharani nao walidakwa na nini .
View attachment 2951549
Tena wanadanganya huku wamefunga..!Kudanganya sio dhambi?
Kama haya maneno yametamkwa na mtu mwenye cheo Cha kamishna wa jeshi la polisi basi ni wazi kwamba anapaswa kuvuliwa hicho cheo.Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video iliowaonesha Watu wakivuta bangi mchana maeneo ya Maisara Zanzibar.
CP Hamad ametoa ufafanuzi huo kufuatia operesheni iliofanyika Mkoa wa Mjini na kuwakamata Watu waliodaiwa kula mchana wa Ramadhan “Hakuna sheri inayokataza Watu wasile mchana wa Ramadhani, nilitoa maelekezo baada ya video ya wanaovuta bangi kwamba ifanyike oparesheni wale wavuta bangi kwasababu bangi ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu Watu kuvuta bangi ila hatukuwakamata wala mchana”
“Shida iliyojitokeza operesheni hii ilikamata waliomo na wasiokuwemo, wavuta bangi na waliokula hadharani, Mampaka nyingine za Kiserikali huwa zinafanya oparesheni hiyo ya wanaokula mchana na wajibu wetu ni kusimamia ili ili zifanyike kwa salama na amani.”