Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ndio zao za kubambikia watu kesiUkiwa muongo uwe na kumbukumbi alituambia wamekula mchana Leo kawageuzia bangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio zao za kubambikia watu kesiUkiwa muongo uwe na kumbukumbi alituambia wamekula mchana Leo kawageuzia bangi
Kuna kufunga basi hapo!! Zaid kinachoonekana ni unafiki na kushinda na njaaTena wanadanganya huku wamefunga..!
Kiboko ya hao askari uchwara ni hawa jamaa tu.Hata haeleweki anataka kusemaje! Kwahio Ile video kuwa wamekamata wanaokula mchana sio sauti zao?![]()
Kosa lenu ni kuvuta bangi mchanaKwaiyo Sisi wavuta bangi sio watu? Au kwakua tunavuta bangi ndio mtunyanyapae mbwa nyie
hawa waafrika wa zanzibar ni walevi wa dini, wanatia aibu kung'ang'ania ujinga na upuuzi wa dini. Mbona bara kuna waislam lakini hawana upuuzi kama wa zanzibar? Bara chakula kinaliwa mpaka kwenye milango ya kuingilia misikitini na hakuna mla mchana anayebughudhiwa. Misikiti mingi chakula watu wanakula mchana kweupe bila kificho watu hawana wasiwasi wa kukamatwa. Hii zanzibar ni nchi ya uislam gani ambao mungu anawaona wao tu?Zanzibar iwe tu nchi ya Kidini.
waanze kuchinjana hadharani na kukata mikono wezi siku ya Ijumaa baada ya swala adhuhuri.
Kwani ndugu yangu aliyesema wamekamatwa wakila ni wao au aliyewakamata? Dah kwani hata masikio mmeyaazima? Na Ile barua ya mzungu kula hadharani na yenyewe ilijiandika? Samahani ni neno dogo sana, ila linaleta heshima. Sio kila kitu kitafuata unataka nini. Vingine vitafuata wengine wanataka Nini.Mimi nilijua tuh,kumbe makafiri walikamatwa na bangi wakasingizia wanapigwa eti kisa kula mchana,hovyo kabisa hao
Yaani wewe ni bonge la falaMimi nilijua tuh,kumbe makafiri walikamatwa na bangi wakasingizia wanapigwa eti kisa kula mchana,hovyo kabisa hao
Eti eeeh,ila inayotoka mwa mungu ni ILE AMBAYO KIONGOZI WENU MKUU ANAWAPA AMRI YA KUFUNGA NDOA MADUME KWA MADUME MPIGANE MASHINE SIYO??BASI SAWAAA...NDOA ZIENDELEEE...Ukiona dini inalazimisha mambo yake kwa mabavu, hiyo dini haitokani na Mwenyezi Mungu.
Labda huyu CP ndo kavuta bangi. Ushahidi wote ule leo anajitoa ufahamu? Suala la watu kuvuta bangi kwenye viwanja vya maisara lipo kila siku miaka yote na hawajawahi kuwakamata. Nani anayeishi Zanzibar na anayefahamu viwanja vya maisara hajui ni makazi ya wavuta bangi?Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video iliowaonesha Watu wakivuta bangi mchana maeneo ya Maisara Zanzibar.
CP Hamad ametoa ufafanuzi huo kufuatia operesheni iliofanyika Mkoa wa Mjini na kuwakamata Watu waliodaiwa kula mchana wa Ramadhan “Hakuna sheri inayokataza Watu wasile mchana wa Ramadhani, nilitoa maelekezo baada ya video ya wanaovuta bangi kwamba ifanyike oparesheni wale wavuta bangi kwasababu bangi ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu Watu kuvuta bangi ila hatukuwakamata wala mchana”
“Shida iliyojitokeza operesheni hii ilikamata waliomo na wasiokuwemo, wavuta bangi na waliokula hadharani, Mampaka nyingine za Kiserikali huwa zinafanya oparesheni hiyo ya wanaokula mchana na wajibu wetu ni kusimamia ili ili zifanyike kwa salama na amani.”
Ile amri huku africa si imektaliwa mkuu au unajioa ufahamu?Eti eeeh,ila inayotoka mwa mungu ni ILE AMBAYO KIONGOZI WENU MKUU ANAWAPA AMRI YA KUFUNGA NDOA MADUME KWA MADUME MPIGANE MASHINE SIYO??BASI SAWAAA...NDOA ZIENDELEEE...
Ile amri huku africa si imektaliwa mkuu au unajioa ufahamu?
Bi hadija unateseka ukiwa wapi?Mimi nilijua tuh,kumbe makafiri walikamatwa na bangi wakasingizia wanapigwa eti kisa kula mchana,hovyo kabisa hao
Wapi imekataliwa??watu wanapigana mashine kama kawaida,nani ana uwezo wa KUMPINGA PAPA??
same-sex blessings, says such unions are contrary to God’s willWapi imekataliwa??watu wanapigana mashine kama kawaida,nani ana uwezo wa KUMPINGA PAPA??
Ndio imekula kwao.😆😆😆😆 yaani Washikaji wanapewa kesi ya bangi mchana kweupe yaani !!