Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

Serikali ya Zanzibar ichutame tu. Polisi huyu hapa akikiri kuwa kawakamata watu 12 kwa kosa kula mchana.

Your browser is not able to display this video.
 
Na Kuna DC alitolea ufafanuzi aina ya kosa litakalowatia hatiani hao watu 12 waliokamatwa wakila mchana. Akasema watashitakiwa kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoikerahisha jamii.

Kula mchana wakati wa mwezi mtukufu ni kuikerahisha jamii. Akalinganisha na kitendo cha mtu kuvua nguo na kuamua kutembea uchi barabarani.
 
Sasa chukueni hii taarifa mpya ya Bangi , huko mwanzo walinukuliwa vibaya
 
Wameona yanini kelele yawe mengi ngoja tupindue kesi 😂
Kuna muhafidhina mmoja alikuja hapa akitetea ile habari ya watu kukamatwa kwa kula mchana mwezi wa Ramadhani, akidai kuna sheria hiyo, nikamtaka aiweke hapa.

Kakimbia mpaka sasa hajanijibu.

Sasa kama hawa wamepatikana na bangi, kwa nini awali walisemwa wamekamatwa kwa kula mchana kipindi cha Ramadhani?

Tukisema wamebambikiwa kesi ya nmbangi kwa sababu hakuna sheria ya kumfunga mtu kwa kula mchana kipindi cha Ramadhani tutakuwa tunakosea?
 
Sasa chukueni hii taarifa mpya ya Bangi , huko mwanzo walinukuliwa vibaya
Wamenukuliwa vibaya mpaka msemaji wa serikali naye hajahakiki habari?

Tukisema hiyo kesi ya bangi wamebambikiwa baada ya kuonekana hakuna sheria ya kumfunga mtu anayekula mchana mwezi wa Ramadhani tutakuwa tunakosea?
 
Hiyo bangi wamewekewa mifukoni na kuwabambikiza kesi.

Video inaonyesha mmoja akipigwa na kumwambia anawadharau waislamu! Kwa hiyo wasitutoke katika mjadala wetu!
 

legalise recreational cannabis​

Germany on Monday became the biggest EU country to legalise recreational cannabis, despite fierce objections from opposition politicians and medical associations.

Issued on: 01/04/2024 - 07:29Modified: 01/04/2024 - 13:38
2 min
01:23
Germany will now have some of the most liberal cannabis laws in Europe. © John MacDougall, AFP/

Waliotufunza na kutukaririshq hizi Sheria wenyewe wameamua kila Mtu abebe Msalaba wake.
 
Hivi tunahitaji ushahidi gani kuwa jeshi la polisi linawabambikia watu kesi? Inahitaji akili ya mwendawazimu kuamini taarifa yoyote inayotolewa na jeshi la polisi.
 
Mashada tupu hayo
 
Kama haya maneno yametamkwa na mtu mwenye cheo Cha kamishna wa jeshi la polisi basi ni wazi kwamba anapaswa kuvuliwa hicho cheo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…