Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Mimi kila siku nawashauri watu, akienda Zanzibar jifanye unafuata sheria za kiislamu hata kama sio muislamu, kama huwezi usiende.Serikali Inawabambikizia Kesi Raia Wake
Haa Haa
Ndio Hapo sasa! Wao wanaona dhambi ni kula mchana tuLakini kubambika kesi mwezi mtukufu si ni dhambi ya kushuhudia uongo?
Acha kujidanganya wewe. Yule hajifanyii mambo peke yake, ana support ya serikali nzima.Hapo sasa ndipo atakapotukanwa kwel kweli. Na kibarua chake kinaweza ishia hapo.
Kama ni muumini wa usawa na haki kwa nini ufurahie mtu ambaye hajavubja sheria yoyote kubambikiwa kesi?Mimi sina Dini Mkuu na wala sina utambulisho wa dini Yeyote..
Napenda Amani na Upendo utawale Na pale napoona Mtu anajitenga na kuona wengine hawafai na yeye ni bora kuliko mwingine huwa ninampuuza..
Nachojua binadamu wote ni sawa hakuna Mtu mwenye Rank kubwa kuliko mwingine na hakuna mwenye ubora kulko kiumbe kingine viumbe vyote ni sawa..
Na hii nafikiri Mnafundishwa makanisani.hata huko misikitini..
Binadamu Hana tifauti na Wanyama..viumbe wote ni sawa..Tuishi kwa upendo bila matabaka..
Swali rahisi ndugu daktari, je ni haki? Kwa maana ukiwa kwenye kiti Cha kumsaidia Mungu majukumu jitahiji ufanye kama ambavyo yeye angefanya. Tumekula hadharani, sio jinai umenishika ukanibambikizia kesi ya dawa za kulevya. Je shahidi utakayemleta mahakamani atatoa ushahidi aliniona na madawa ya kulevya? Unaiona chain ya dhambi za kufunika kosa la kijinga?Unajua niliwahi kuwaambia watu kuwa Kuna watu wakishika Mpini wewe ukishika makali chutama tu!
Yaishe..
Sasa hii kesi hata kama wakipata Mwanasheria kutoka Nchi zaidi ya 80 hawawezi kushinda labda serkali iwaonee huruma..
Na hayo imetokana na watu kupiga sana kelele na kubishana na DPP..
Maana DPP alipesa kuwa ni kosa kula mchana wanasheria kadhaa wenye mlengo wa Siasa wakaanza kubishana naye..Kwahyo DPP kaone sasa atoe mfano kwa kuwapa kesi ya Madawa ya kulevya..
So sad kwa Muungano!
Labda wanaruhusiwa kusema uongo ili kutetea dini ya haqiMtu anasema uongo halafu eti amefunga .[emoji23]
Sijafurahia ila Nasikitika Ukiona comment yangu utagundua nasikitika sema kuna Wakati masikitiko huweza kuenda na kicheko au Tabasamu kutokana na masikitikomakubwa juu ya wale unaowasikitikia Kutokujua hasa wanatakiwa wafanye nini..!Kama ni muumini wa usawa na haki kwa nini ufurahie mtu ambaye hajavubja sheria yoyote kubambikiwa kesi?
Wapemba wanajiona special sana...tuwatimue kila mtu afanye yake
wahanga watetewe lasivyo wanaweza kuozea jelaMtu anasema uongo halafu eti amefunga .[emoji23]
Polisi ifumuliwe upya, wanakurupuka kwenye maamuzi, we need reform hawa jamaa hawaongozwi professionaly kabisaMwanasheria huyu mkubwa Mzanzibari anayejua sheria za Zanzibar vizuri sana alieleza shida ya polisi wa Zanzibar huyu hapa akifafanua vizuri sana uhuni unaofanywa na Jeshi la Polisi Zanzibar
View: https://youtu.be/Eu0V9V2_Z2Y?si=EU9tjvMwM5cGmS7w
Kama wanyewe hawajui yapi ni makosa kisheria na yapi si makosa, kuna tatizo kubwa sana ndani ya chombo hiki. Wamezoea kubambikaHivi tunahitaji ushahidi gani kuwa jeshi la polisi linawabambikia watu kesi? Inahitaji akili ya mwendawazimu kuamini taarifa yoyote inayotolewa na jeshi la polisi.
Sahihi kabisaPolisi ifumuliwe upya, wanakurupuka kwenye maamuzi, we need reform hawa jamaa hawaongozwi professionaly kabisa
Kwani nchi za kidini huwa wanachinjana hadharani? Ebu toa mifanoZanzibar iwe tu nchi ya Kidini.
waanze kuchinjana hadharani na kukata mikono wezi siku ya Ijumaa baada ya swala adhuhuri.
Marufuku mtoto wangu kuwa Polisi, uongo uongo tu, fitina tu , kuonea watu, rushwa.Hii hapa chini..
Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...www.jamiiforums.com
Kwani hujui chinja chinja huko uislamuni! Ni pamoja na kupigwa mawe hadi kufa, au viboko 100! Kama laana vile!Kwani nchi za kidini huwa wanachinjana hadharani? Ebu toa mifano
Sio serikali kuwa Raisi wa Zanzibar ajitathimini au kuchutama hapana ni kumuonea na kumbebesha mzigo usiomhusuSerikali ya Zanzibar ichutame tu. Polisi huyu hapa akikiri kuwa kawakamata watu 12 kwa kosa kula mchana.
View attachment 2951604