Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

SIo sikukuu ya wajinga kweli wanajaribu kututania
 
Mimi sina Dini Mkuu na wala sina utambulisho wa dini Yeyote..

Napenda Amani na Upendo utawale Na pale napoona Mtu anajitenga na kuona wengine hawafai na yeye ni bora kuliko mwingine huwa ninampuuza..
Nachojua binadamu wote ni sawa hakuna Mtu mwenye Rank kubwa kuliko mwingine na hakuna mwenye ubora kulko kiumbe kingine viumbe vyote ni sawa..

Na hii nafikiri Mnafundishwa makanisani.hata huko misikitini..

Binadamu Hana tifauti na Wanyama..viumbe wote ni sawa..Tuishi kwa upendo bila matabaka..
Kama ni muumini wa usawa na haki kwa nini ufurahie mtu ambaye hajavubja sheria yoyote kubambikiwa kesi?
 
Unajua niliwahi kuwaambia watu kuwa Kuna watu wakishika Mpini wewe ukishika makali chutama tu!
Yaishe..
Sasa hii kesi hata kama wakipata Mwanasheria kutoka Nchi zaidi ya 80 hawawezi kushinda labda serkali iwaonee huruma..

Na hayo imetokana na watu kupiga sana kelele na kubishana na DPP..

Maana DPP alipesa kuwa ni kosa kula mchana wanasheria kadhaa wenye mlengo wa Siasa wakaanza kubishana naye..Kwahyo DPP kaone sasa atoe mfano kwa kuwapa kesi ya Madawa ya kulevya..
So sad kwa Muungano!
Swali rahisi ndugu daktari, je ni haki? Kwa maana ukiwa kwenye kiti Cha kumsaidia Mungu majukumu jitahiji ufanye kama ambavyo yeye angefanya. Tumekula hadharani, sio jinai umenishika ukanibambikizia kesi ya dawa za kulevya. Je shahidi utakayemleta mahakamani atatoa ushahidi aliniona na madawa ya kulevya? Unaiona chain ya dhambi za kufunika kosa la kijinga?
 
Kama ni muumini wa usawa na haki kwa nini ufurahie mtu ambaye hajavubja sheria yoyote kubambikiwa kesi?
Sijafurahia ila Nasikitika Ukiona comment yangu utagundua nasikitika sema kuna Wakati masikitiko huweza kuenda na kicheko au Tabasamu kutokana na masikitikomakubwa juu ya wale unaowasikitikia Kutokujua hasa wanatakiwa wafanye nini..!
 
Unakula hadharani umekuwa ng'ombe! Huko saudia wanakata kichwa
 
Hivi tunahitaji ushahidi gani kuwa jeshi la polisi linawabambikia watu kesi? Inahitaji akili ya mwendawazimu kuamini taarifa yoyote inayotolewa na jeshi la polisi.
Kama wanyewe hawajui yapi ni makosa kisheria na yapi si makosa, kuna tatizo kubwa sana ndani ya chombo hiki. Wamezoea kubambika
 
Hii hapa chini..
Marufuku mtoto wangu kuwa Polisi, uongo uongo tu, fitina tu , kuonea watu, rushwa.
 
Serikali ya Zanzibar ichutame tu. Polisi huyu hapa akikiri kuwa kawakamata watu 12 kwa kosa kula mchana.

View attachment 2951604
Sio serikali kuwa Raisi wa Zanzibar ajitathimini au kuchutama hapana ni kumuonea na kumbebesha mzigo usiomhusu
Wakuu wa Polisi Zanzibar ndio wachutame na kujitathimini kama hizo nafasi wako nazo wanaenea au Raisi Mwinyi afanye mabadiliko

Kwangu mimi hao viongozi wa Polisi Zanzibar wachutame na wajiuzulu nafasi zao kama hawataki Raisi Mwinyi awachutamishe au IGP awachutamishe kwa kuwashusha vyeo au kuwatoa vyeo hivyo kuwapeleka kwingine nje ya Zanzibar sababu Polisi ni chombo cha muungano kumpunguzia kazi Raisi wa Zanzibar asihangaike kuwa awafanyaje

IGP uwezo huo anao hata kuwapeleka Dodoma makao makuu ya polisi wakawe wawe masjala ya Polisi kazi yao kusoma tu magazeti hadi kustaafu badala ya kudhalilisha jeshi la Polisi Zanzibar kitu kiwezacho letelea image ya Tanzania kuwa mbovu kimataifa eneo la utalii la Zanzibar na kuua uchumi wa utalii
 
Back
Top Bottom