KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Na shangazi alikuwa akisubiri kuona ni vifungu gani vya sheria vitakavyotumika kuwatia hatiani wale waliokutwa wakila hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan. Wamebadili gia angani.Lilikuwa suala la muda kabla mashtaka hayajabadilishwa
Wanasema kabisa kuwa wasioamini dini yao wauawe..Mi silijui hilo,mbona ktk mafundisho yao hawatumi neno ni lazima Ila "Nawasihi ndugu zangu waislam" 😊
Sio yeye tu jumuiya za kimataifa na za haki za binadamu za kimataifa na za Ndani macho yote yameelekezwa Zanzibar kuona hao waliokamatwa kwa kula mchana mwezi wa Ramadhani wanafunguliwa kesi ipi watanzania na watalii toka nje ya nchi waliokuja kutalii Zanzibar wanawashtaki kwa kivipi kisheria?Na shangazi alikuwa akisubiri kuona ni vifungu gani vya sheria vitakavyotumika kuwatia hatiani wale waliokutwa wakila hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan. Wamebadili gia angani.
View attachment 2951898Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video iliowaonesha Watu wakivuta bangi mchana maeneo ya Maisara Zanzibar.
View attachment 2951899
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad
CP Hamad ametoa ufafanuzi huo kufuatia operesheni iliofanyika Mkoa wa Mjini na kuwakamata Watu waliodaiwa kula mchana wa Ramadhan “Hakuna sheri inayokataza Watu wasile mchana wa Ramadhani, nilitoaba maelekezo baada ya video ya wanaovuta bangi kwamba ifanyike oparesheni wale wavuta bangi kwasababu bangi ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu Watu kuvuta bangi ila hatukuwakamata wala mchana”
“Shida iliyojitokeza operesheni hii ilikamata waliomo na wasiokuwemo, wavuta bangi na waliokula hadharani, Mampaka nyingine za Kiserikali huwa zinafanya oparesheni hiyo ya wanaokula mchana na wajibu wetu ni kusimamia ili ili zifanyike kwa salama na amani.”
Nashukuru sana kwa taarifa hizi kwani hata mm nilipinga vikali taarifa za kukamatwa watu kula hadharani Zanzibar lkn wakaja Wazanzibar kunishambulia sishangai kwani ndio kawaida yao, mara zote wamejengewa kuwa wajasiri kwenye kivuli Cha udini wa kiislam huku wakipinga vikali Dini ya kikiristo Mungu awasamehe waishi tu kama tunavyoishi bara kwa kuona kwenye masuala ya kidini kila mtu afanye anachokitaka isipokuwa tu asivunje sheria za nchi nafikiri tunaishi vizuri sanaView attachment 2951898Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video iliowaonesha Watu wakivuta bangi mchana maeneo ya Maisara Zanzibar.
View attachment 2951899
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad
CP Hamad ametoa ufafanuzi huo kufuatia operesheni iliofanyika Mkoa wa Mjini na kuwakamata Watu waliodaiwa kula mchana wa Ramadhan “Hakuna sheri inayokataza Watu wasile mchana wa Ramadhani, nilitoa maelekezo baada ya video ya wanaovuta bangi kwamba ifanyike oparesheni wale wavuta bangi kwasababu bangi ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu Watu kuvuta bangi ila hatukuwakamata wala mchana”
“Shida iliyojitokeza operesheni hii ilikamata waliomo na wasiokuwemo, wavuta bangi na waliokula hadharani, Mampaka nyingine za Kiserikali huwa zinafanya oparesheni hiyo ya wanaokula mchana na wajibu wetu ni kusimamia ili ili zifanyike kwa salama na amani.”