Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

Tatizo la askari wetu wengi wao hawaongozwi na sheria Bali mihemko Ikitokea mwanasheria akawakosoa Basi wanafyanta mikia na kubadili gia angani haiwezekan akawa sahihi maana hii sio Mara ya kwanza Hadi watalii wamekua wakitozwa faini kwa kula mchana nao walikua wanavuta bangi??
 
Na shangazi alikuwa akisubiri kuona ni vifungu gani vya sheria vitakavyotumika kuwatia hatiani wale waliokutwa wakila hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan. Wamebadili gia angani.
Sio yeye tu jumuiya za kimataifa na za haki za binadamu za kimataifa na za Ndani macho yote yameelekezwa Zanzibar kuona hao waliokamatwa kwa kula mchana mwezi wa Ramadhani wanafunguliwa kesi ipi watanzania na watalii toka nje ya nchi waliokuja kutalii Zanzibar wanawashtaki kwa kivipi kisheria?

Macho yote ya dunia kuanzia wanasheria wa na watetezi wa haki za binadamu local na International sasa hivi macho yao yote yako Zanzibar

Polisi na IGP msikubali kuwa dekio la uchafu wa viongozi wa Polisi Zanzibar watoeni position zao haraka na warudisheni makao makuu kimya kimya mkiona moto mkali kutoka nje semeni tu Hao walichukua hatua bila consultations na makao makuu ya polisi .Jeshi linasikitika kwa sintofahamu yeyote na limeshachukua hatua stahiki kwa wahusika za mwanzo kuondoa sintofahamu wakati jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi na taratibu zingine za kipolisi za kinidhamu ndani ya Jeshi la polisi na kuipa pole jamii kwa sintofahamu yeyote iliyotokea kwa wanachi na Jeshi la Pokisi linawasihi wananchi kuendelea kuliamini Jeshi la polisi na kuendelea ku ripoti pale ambapo Jeshi la Polisi kunaonekana kuna mapungufu popote ili lichukue hatua stahiki tuhuma zikithibitika sababu jeshi la polisi kazi yake kufanya kazi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi
 
View attachment 2951898
View attachment 2951899
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad
Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video iliowaonesha Watu wakivuta bangi mchana maeneo ya Maisara Zanzibar.

CP Hamad ametoa ufafanuzi huo kufuatia operesheni iliofanyika Mkoa wa Mjini na kuwakamata Watu waliodaiwa kula mchana wa Ramadhan “Hakuna sheri inayokataza Watu wasile mchana wa Ramadhani, nilitoaba maelekezo baada ya video ya wanaovuta bangi kwamba ifanyike oparesheni wale wavuta bangi kwasababu bangi ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu Watu kuvuta bangi ila hatukuwakamata wala mchana”

“Shida iliyojitokeza operesheni hii ilikamata waliomo na wasiokuwemo, wavuta bangi na waliokula hadharani, Mampaka nyingine za Kiserikali huwa zinafanya oparesheni hiyo ya wanaokula mchana na wajibu wetu ni kusimamia ili ili zifanyike kwa salama na amani.”

View attachment 2951898
View attachment 2951899
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad
Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video iliowaonesha Watu wakivuta bangi mchana maeneo ya Maisara Zanzibar.

CP Hamad ametoa ufafanuzi huo kufuatia operesheni iliofanyika Mkoa wa Mjini na kuwakamata Watu waliodaiwa kula mchana wa Ramadhan “Hakuna sheri inayokataza Watu wasile mchana wa Ramadhani, nilitoa maelekezo baada ya video ya wanaovuta bangi kwamba ifanyike oparesheni wale wavuta bangi kwasababu bangi ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu Watu kuvuta bangi ila hatukuwakamata wala mchana”

“Shida iliyojitokeza operesheni hii ilikamata waliomo na wasiokuwemo, wavuta bangi na waliokula hadharani, Mampaka nyingine za Kiserikali huwa zinafanya oparesheni hiyo ya wanaokula mchana na wajibu wetu ni kusimamia ili ili zifanyike kwa salama na amani.”
Nashukuru sana kwa taarifa hizi kwani hata mm nilipinga vikali taarifa za kukamatwa watu kula hadharani Zanzibar lkn wakaja Wazanzibar kunishambulia sishangai kwani ndio kawaida yao, mara zote wamejengewa kuwa wajasiri kwenye kivuli Cha udini wa kiislam huku wakipinga vikali Dini ya kikiristo Mungu awasamehe waishi tu kama tunavyoishi bara kwa kuona kwenye masuala ya kidini kila mtu afanye anachokitaka isipokuwa tu asivunje sheria za nchi nafikiri tunaishi vizuri sana
 
Back
Top Bottom