Elections 2015 Kampeni CCM: Ndugai ampiga mgombea mwenzake, azimia na kukimbizwa hospitali huko Kongwa

Uchaguzi mwaka uu si mchezo na ni mgumu kwa chama tawala, wananchi wameamka sana kwa kipindi hiki.
Nadhani Tanzania inatoka stage moja kwenda nyingine.
Loh mwaka uu ni hatari
Ficha panga lako sehemu salama tukutane October kuichinjia mbali CCM.
 
jamani eeeeh??? hiiiizi vurugu zooooote ni kwa ajili ya PESA tuuuuuu??????!!!
 
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa kongwa na naibu spika ampiga mwenzie ngumi mpaka kuzilai kwenye kampeni za ndani wakati wa kujinadi
 

Attachments

  • 1438156618794.jpg
    55.9 KB · Views: 1,635
Hahhaha!Nakumbuka maneno ya msanii Mpoto.......................Njoo kama KULA yangu itakusaidia......................Hahahahah SAFARI njema CCM
 
ccm kupigana imekuwa ni kawaida yao sasa hasa wanapokabiliwa na uwezekano mkubwa wa kupoteza dola. Karagwe wagombea wao wawili inasemekana walitwangana, mwisho wakaamua wote kuachia ngazi
 
ndugu Ndugai ,na magamba wenzio
kwahiyo malaria ya kuondoka Lowasa ndo
ishaanza kuwapanda hadi kichwani..?

pia mie naona huyu gamba kazima baada ya LOWASA
kuhama ugambani kwani ndio alikuwa tegemeo lake kwa
hali na mali...sasa kabaki mtoto yatima ugambani.

 
Last edited by a moderator:
wangoane meno kabisa ukawa tunaulizana unacho! kitambulisho cha kupiga kura kumpiga shetani ccm !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…