Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao.
Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama.
ACT Zitto Kabwela amepoa kwanza nadhani anajipanga na chama chake kuanza fanya mashambulizi. Kwa kweli kila nayemuuliza kuhusu Kampeni Tz anasema kumepoa sana. Bado vyama havijaanza maana hakuna lolote.
Nlisoma tu samia alikuwa sehemu kwenye mikutano yake akasema siku akija kuwa rais atanunua matreja milion 10 kama sijakosea. Nikawazaa nikaona itakuwa watu wamemnukuu vibaya.