Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
- Thread starter
- #21
Vyama vimepigwa bann vyoote
Si kweli . Umetoa wapi huu uongo
Vyama vimepigwa bann vyoote
chauma kwani ni chamaaa?Si kweli . Umetoa wapi huu uongo
Ni club?chauma kwani ni chamaaa?
Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao.
Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama.
ACT Zitto Kabwela amepoa kwanza nadhani anajipanga na chama chake kuanza fanya mashambulizi. Kwa kweli kila nayemuuliza kuhusu Kampeni Tz anasema kumepoa sana. Bado vyama havijaanza maana hakuna lolote.
Nlisoma tu samia alikuwa sehemu kwenye mikutano yake akasema siku akija kuwa rais atanunua matreja milion 10 kama sijakosea. Nikawazaa nikaona itakuwa watu wamemnukuu vibaya.
Anajiibia mwenyeweMaza yuko busy na kampeni na mipango ya kuiba kura inaendelea vizuri. Sasa sijui anamuibia nani kwenye uchaguzi wa chama kimoja.....!!?
Ooh my friend Chizi Maarifa you are behind the NEWS.
Hujasikia Singida wataboreshewa usikivu wa TBC?
Kule Mbeya watawekewa mataa ya ba.rabarani.
Huko Dar kwenu wazee, watoto na wajawazito watakatiwa bima za afya bure.
Nini tena unataka wewe.