PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.

Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.

Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.

Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.

Aione
CIC
Kikwete.

Mto wa Mbu,
USA
 
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeini ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.

Kampeini iyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.

Kwa matukio yaliyotokea Tanzania,sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnooo.

Aione
CIC
Kikwete.

Mto wa Mbu,
USA
But Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
 
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeini ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.

Kampeini iyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.

Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.

Kwa matukio yaliyotokea Tanzania,sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnooo.

Aione
CIC
Kikwete.

Mto wa Mbu,
USA
Tanzania siyo salama, kila siku watu wanatekwa, sasa wanaanza kuteka madaktari na wanapotea. Bado kazi na utu ya mama kuteka inaendelea.
 
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.

Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.

Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.

Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.

Aione
CIC
Kikwete.

Mto wa Mbu,
USA
acha pumba, infact hoteli nyingi zimejaa mpaka december mwishon na sio kwa sababu ya izo propaganda ni season tu yenyeer inakua low after january
 
Weka hapa ushahidi wa tovuti, au blogs, au vipeperushi....
Hivi mnawachukuliaje wabongo?
Kwamba wote wanasoma magazeti ya uhuru na mzalendo
 
acha pumba, infact hoteli nyingi zimejaa mpaka december mwishon na sio kwa sababu ya izo propaganda ni season tu yenyeer inakua low after january
Hio ni booking waliofanya kabla haya yajatokea ngoja tuangalie kwa nZia hio January kama hotel zitaendelea kujaa Hawa watalii wanaogopa sana nchi kama Haina amani na haya matukio yaliyofanyoka ujue yanasambaa duniani kote sasa tutegemee Nini Kuna shida sana tunakokwenda
 
Back
Top Bottom