PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Haya kunazidi kuchangamka uingereza imewaonya raia wake safari Za tanzania sasa hao watalii unaosema wewe sijui watatoka wap wa kujaza hizo hotel
unapenda kujitengenezea taarifs 😂
 
Hatuja pona na covid inakuja hii. Machafuko huchukua muda sana nchi kuaminika. Reforms za haraka kurudisha imani kwa watalii. Vinginevyo,shida kubwa sana huko mbele.
Mkuu! Unaripoti kutoka USA RIVER?
 
usalama wa kuvunja vituo? lazima mle chuma
Samia ndio aliwahakikishia usalama nyie wapiga kura wake dhidi ya waandamanaji ila mwisho wa siku akatembeza chuma hadi kwenu wapiga kura wake.
 
Samia ndio aliwahakikishia usalama nyie wapiga kura wake dhidi ya waandamanaji ila mwisho wa siku akatembeza chuma hadi kwenu wapiga kura wake.
hamna mpira kura aliepata hilo tatizo, infact ata waandamanaji wa kwanza hawakupata tatizo lolote shida ilianza kwenye wizi
 
hamna mpira kura aliepata hilo tatizo, infact ata waandamanaji wa kwanza hawakupata tatizo lolote shida ilianza kwenye wizi
Hao waandamanaji wa kwanza hawakupata tatizo lolote wakati huo polisi walikuwa wapi? Maana maandamano yalikatazwa kabisa.
 
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.

Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.

Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.

Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.

Aione
CIC
Kikwete.

Mto wa Mbu,
USA
itaangukia pua unataka vijana wakose ajira?
 
Back
Top Bottom