byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 4,343
- 5,589
We kilaza soma hiyo article, au unahitaji tafsiri😄We ni pimbi kumbe io data ni before october subiri sasa post october uje na data hapa sawa
We kilaza soma hiyo article, au unahitaji tafsiri😄We ni pimbi kumbe io data ni before october subiri sasa post october uje na data hapa sawa
Acha kiwakeHakutakiwi kuwa na kampeni, mtu mwenye akili timamu hawezi kuja kutalii Tanzania kwa ushenzi ule wa Oct 29.
Mi nawe kilaza nani nazungumiza annual inayoanzia october tusubiri data we unazungumzia last annual nikusaidie mwezi october wameingia watalii 86k aya subiri November iishe data zitoke jombiWe kilaza soma hiyo article, au unahitaji tafsiri😄
Hahaa unajua maana ya annual? Kama ndio mbona unazungumzia October na November 😄Mi nawe kilaza nani nazungumiza annual inayoanzia october tusubiri data we unazungumzia last annual nikusaidie mwezi october wameingia watalii 86k aya subiri November iishe data zitoke jombi
Utakuta huyo bibi chura kiziwi nae ana mawazo kama haya!acha pumba, infact hoteli nyingi zimejaa mpaka december mwishon na sio kwa sababu ya izo propaganda ni season tu yenyeer inakua low after january
jomba google sii ipo unabishaba na manbo ya ajabu andika google watalii waliongia NovemberHahaa unajua maana ya annual? Kama ndio mbona unazungumzia October na November 😄
Haya yote ni sababu ya kulazimisha kubaki madarakaniHapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
Ona ulivyokosa akili, kila kitu Wakenya Wakenya, unaona Watanzania wote ni vilaza hawajitambui kama wewe?But Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
Wahusika wanajua nn cha kufanya, ila wamekaza fuvu, hizi siasa zao za hovyo zita wacostHatuja pona na covid inakuja hii. Machafuko huchukua muda sana nchi kuaminika. Reforms za haraka kurudisha imani kwa watalii. Vinginevyo,shida kubwa sana huko mbele.
Wakimwaga mboga unamwaga ugali ,kama mbwai mbwai ,TZ kwasasa si salama iwe mtalii au mwenyeji ,MC pilipili kauawa mchana kweupe hakuna anayejua mtekaji ni nani ,vipi kwa mtalii?Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
Unajua ukikata mti kipindi cha mvua madhara utakuja kuyaona kipindi cha jua. Impact ya baadae nikubwa na waziri wa burundi ndio mwenye mkuu huenda sasa watu wakaenda UkraineHatuja pona na covid inakuja hii. Machafuko huchukua muda sana nchi kuaminika. Reforms za haraka kurudisha imani kwa watalii. Vinginevyo,shida kubwa sana huko mbele.
Hio ni booking waliofanya kabla haya yajatokea ngoja tuangalie kwa nZia hio January kama hotel zitaendelea kujaa Hawa watalii wanaogopa sana nchi kama Haina amani na haya matukio yaliyofanyoka ujue yanasambaa duniani kote sasa tutegemee Nini Kuna shida sana tunakokwenda
Utakuta huyo bibi chura kiziwi nae ana mawazo kama haya!
mbna bado hamjasema, mpaka mseme yaani![]()
Tanzania’s tourism industry defies election protests as visitor numbers surge
The Tanzania Association of Tour Operators (Tato), which represents more than 300 private operators, said its own assessments show no security threats to tourists or to the country’s main...www.thecitizen.co.tz
Wataifuta![]()

wameshahakikishiwa usalama hivo watalii lazima wajae, usipoenda tanzania hamna sehem ingine kuna utalii mkubwa zaidi ya hapaWataifuta
Nani anakudanganyawameshahakikishiwa usalama hivo watalii lazima wajae, usipoenda tanzania hamna sehem ingine kuna utalii mkubwa zaidi ya hapa
Qmmmq angalia hii ngombewameshahakikishiwa usalama hivo watalii lazima wajae, usipoenda tanzania hamna sehem ingine kuna utalii mkubwa zaidi ya hapa
Qmmmq angalia hii ngombe
sii hii apa news acha kubweka![]()