PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watakao kosa hela ni Mafisadi, sisi wakulima tunaoshindia mihogo hizo hela za watalii hatuzijui
we ni mjinga sana, bila hizo pesa hakuna maununuzi ya nje hata internet hutaweza kulipia, yaani we ni mjinga sana
 
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.

Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.

Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.

Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.

Aione
CIC
Kikwete.

Mto wa Mbu,
USA
Ndio safi kwasababu hayo madollor ya watilii ndowanayotumia kuagiza siraha kutuua
 
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.

Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.

Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.

Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.

Aione
CIC
Kikwete.

Mto wa Mbu,
USA
Itafika hawa watawekwa kwenye list hawatakiwi USA na kufreeze assets zao zote zilizopo huko. EU itafuata mkumbo na nchi zote washirika.

Mwisho ni kukamatwa wakigusa hizo ardhi.
 
Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.

Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.

Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.

Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.

Aione
CIC
Kikwete.

Mto wa Mbu,
USA
Weka ushahidi wa picha au maandishi ya hizo kampeni za kuhamasisha watalii kutokuja Tanzania
 
But Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
Kwa akili zako unafikiri huyo kiongozi mwenye shibe anapowatembelea wananchi wake wenye njaa usalama wake utakuwepo kweli.

Tafakari.
 
Back
Top Bottom