stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
inafikirisha wazazi wako watakua wa aina ganWewe ndo jinga
inafikirisha wazazi wako watakua wa aina ganWewe ndo jinga
Umekuwa adimu au payrol za uvccm zimestuckmzee umekua banned 😂😂, tatizo mdomo sana ukae kwa kutulia sasa
acha shobo na wanaumeUmekuwa adimu au payrol za uvccm zimestuck
Tangu lini umeshakuwa mwanume wewe umebadili jinsia lini dada anguacha shobo na wanaume
punguza shobo na wanaume kama huna uwezo wa kukaa miezi 9 ndanTangu lini umeshakuwa mwanume wewe umebadili jinsia lini dada angu
Mh. Naibu Waziri Paul Christian makonda anaruhusiwa kuja huko kwasasa?Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
Kwani Wakenya ndio wememteka Humphrey Polepole,Mdude,na kuua maelfu ya waandamanaji?But Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
Wiki tu unaanza kuweka rehena marinda upewe mchele kilo kumipunguza shobo na wanaume kama huna uwezo wa kukaa miezi 9 ndan
Kwa hiyo kauli mbinu ina semaje tembelea Tanzania ubakwe au inasema vingeHapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
we unadhan mm maskini kama wewe, unasumbua wajinga uwabebe na forexWiki tu unaanza kuweka rehena marinda upewe mchele kilo kumi
Kwa makubaliano yapi?Kwani starling wa cinema za mbugani kama royal tour kesha kufa?
Atatoa movie nyingine itamsaidia kuwaleta wachina na warusi.
Sasa hivi watapewa pesa na Putin, Xi, UAE na M7 labda.
Hapo bado CNN haijarusha….Kwa ule ugaidi uliofanyika oct 29 sidhani kama kuna mtalii atataka kuhatarisha maisha yake kuja Tz.
Haya kunazidi kuchangamka uingereza imewaonya raia wake safari Za tanzania sasa hao watalii unaosema wewe sijui watatoka wap wa kujaza hizo hotelsii hii apa news acha kubweka
endelea kujitengenezea taarifa nmekutumia gazetib apo usome umelikimbia 😂😂Haya kunazidi kuchangamka uingereza imewaonya raia wake safari Za tanzania sasa hao watalii unaosema wewe sijui watatoka wap wa kujaza hizo hotel
Kuhakikishiwa usalama? Wapiga kura walihakikishiwa usalama na Samia ila mwisho wa siku nini kikatokea?wameshahakikishiwa usalama hivo watalii lazima wajae, usipoenda tanzania hamna sehem ingine kuna utalii mkubwa zaidi ya hapa
usalama wa kuvunja vituo? lazima mle chumaKuhakikishiwa usalama? Wapiga kura walihakikishiwa usalama na Samia ila mwisho wa siku nini kikatokea?