Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
But Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeini ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeini iyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania,sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnooo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
But Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
Tanzania siyo salama, kila siku watu wanatekwa, sasa wanaanza kuteka madaktari na wanapotea. Bado kazi na utu ya mama kuteka inaendelea.Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeini ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeini iyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania,sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnooo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
Tanzania ni kama HaitiTanzania siyo salama, kila siku watu wanatekwa, sasa wanaanza kuteka madaktari na wanapotea. Bado kazi na utu ya mama kuteka inaendelea.
Hana akiri uyo manyonyoWho cares then?
Unalazimisha kuongoza watu ambao hawakutaki in and out kwa kuwaua?
Acha kiwakeBut Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
Mikuki ya kujichomaKwahyo Royal Tour Impacts yake -10.
Kweli kisicho Riziki hakiliki
acha pumba, infact hoteli nyingi zimejaa mpaka december mwishon na sio kwa sababu ya izo propaganda ni season tu yenyeer inakua low after januaryHapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
Weka hapa ushahidi wa tovuti, au blogs, au vipeperushi....Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
Umeambiwa nenda utoe pesa zako zote bank... December 9Hatuja pona na covid inakuja hii. Machafuko huchukua muda sana nchi kuaminika. Reforms za haraka kurudisha imani kwa watalii. Vinginevyo,shida kubwa sana huko mbele.
Zanzibar breaks tourism record as arrivals exceed 743,000 | The Citizen Zanzibar breaks tourism record as arrivals exceed 743,000Waulize wanaofanya shughul za utakii cancelation za kutosha
We ni pimbi kumbe io data ni before october subiri sasa post october uje na data hapa sawaZanzibar breaks tourism record as arrivals exceed 743,000 | The Citizen Zanzibar breaks tourism record as arrivals exceed 743,000
Uongo unakusaidia nini mkuu? Btw ni cancellation sio cancelation
Hio ni booking waliofanya kabla haya yajatokea ngoja tuangalie kwa nZia hio January kama hotel zitaendelea kujaa Hawa watalii wanaogopa sana nchi kama Haina amani na haya matukio yaliyofanyoka ujue yanasambaa duniani kote sasa tutegemee Nini Kuna shida sana tunakokwendaacha pumba, infact hoteli nyingi zimejaa mpaka december mwishon na sio kwa sababu ya izo propaganda ni season tu yenyeer inakua low after january