PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
We kilaza soma hiyo article, au unahitaji tafsiri😄
Mi nawe kilaza nani nazungumiza annual inayoanzia october tusubiri data we unazungumzia last annual nikusaidie mwezi october wameingia watalii 86k aya subiri November iishe data zitoke jombi
 
Mi nawe kilaza nani nazungumiza annual inayoanzia october tusubiri data we unazungumzia last annual nikusaidie mwezi october wameingia watalii 86k aya subiri November iishe data zitoke jombi
Hahaa unajua maana ya annual? Kama ndio mbona unazungumzia October na November 😄
 
Haya yote ni sababu ya kulazimisha kubaki madarakani
 
But Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
Ona ulivyokosa akili, kila kitu Wakenya Wakenya, unaona Watanzania wote ni vilaza hawajitambui kama wewe?
 
wazungu hawajali matatizo yenu, yeye muhimu aje aone tembo tu. Tangu lini mzungu akajali mwafrica akiuliwa? Wao wanafurahia bei zishuke ili waje kutalii
 
Wakimwaga mboga unamwaga ugali ,kama mbwai mbwai ,TZ kwasasa si salama iwe mtalii au mwenyeji ,MC pilipili kauawa mchana kweupe hakuna anayejua mtekaji ni nani ,vipi kwa mtalii?

Ni bora watalii wasije maana wakipata madhara ndiyo TZ itachafuka zaidi ya inavyochafuka sasa.

Inashangaza mtoto mdogo kama Chaula kuuawa na HOMERA kisa kuchoma picha aliyeichora yeye mwenyewe....Hivi kweli Chaula alikuwa anahatarisha usalama wa nchi? Huyo si ilikuwa unamuonya tu?

Ben saanane kueleza ukweli wa Phd Feki ya "MTU furani" naye ameuawa? Kweli? Mbona kainerugaba msemakweli aliwasema viongozi wengi wenye elimu Feki na anadunda mpaka leo? "MTU FURANI" ndiye aliyeasisi utekaji na ulikuwa kwa kasi na ndiyo maana hata ukicomment mtandaoni "barabara yetu haina lami serikali ituwekee lami" unatekwa na kuuawa yaani ni shida.
 
Hatuja pona na covid inakuja hii. Machafuko huchukua muda sana nchi kuaminika. Reforms za haraka kurudisha imani kwa watalii. Vinginevyo,shida kubwa sana huko mbele.
Unajua ukikata mti kipindi cha mvua madhara utakuja kuyaona kipindi cha jua. Impact ya baadae nikubwa na waziri wa burundi ndio mwenye mkuu huenda sasa watu wakaenda Ukraine
 
 
Moto wa mbu ivi wewe ndiye mangi uliye badilisha gender ukawa mwanamke ili upige dolari zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…