Nani anakudanganya
soma hapoTanzania’s tourism industry defies election protests as visitor numbers surge
The Tanzania Association of Tour Operators (Tato), which represents more than 300 private operators, said its own assessments show no security threats to tourists or to the country’s main...www.thecitizen.co.tz
Watakao kosa hela ni Mafisadi, sisi wakulima tunaoshindia mihogo hizo hela za watalii hatuzijuiBut Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
we ni mjinga sana, bila hizo pesa hakuna maununuzi ya nje hata internet hutaweza kulipia, yaani we ni mjinga sanaWatakao kosa hela ni Mafisadi, sisi wakulima tunaoshindia mihogo hizo hela za watalii hatuzijui
we ni mjinga sana, ndo maaana maskiniWe ni pimbi kumbe io data ni before october subiri sasa post october uje na data hapa sawa
usiwaze mkuu tz haikwepeki kwa utalii ni maji lazima uyaogeHakutakiwi kuwa na kampeni, mtu mwenye akili timamu hawezi kuja kutalii Tanzania kwa ushenzi ule wa Oct 29.
yaani we ni mjinga sana, ivi wewe bila fedha za kigeni hio internet unaweza ata kutumia? yaaani we ni lijinga la kwanzaWaulize wanaofanya shughul za utakii cancelation za kutosha
mzee umekua banned 😂😂, tatizo mdomo sana ukae kwa kutulia sasaUmeambiwa nenda utoe pesa zako zote bank... December 9
we mbna hujatekwaTanzania siyo salama, kila siku watu wanatekwa, sasa wanaanza kuteka madaktari na wanapotea. Bado kazi na utu ya mama kuteka inaendelea.
Ndio safi kwasababu hayo madollor ya watilii ndowanayotumia kuagiza siraha kutuuaHapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
hayo madola yakikata ata internet hutaweza kutumia utarudi villageNdio safi kwasababu hayo madollor ya watilii ndowanayotumia kuagiza siraha kutuua
Itafika hawa watawekwa kwenye list hawatakiwi USA na kufreeze assets zao zote zilizopo huko. EU itafuata mkumbo na nchi zote washirika.Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
Weka ushahidi wa picha au maandishi ya hizo kampeni za kuhamasisha watalii kutokuja TanzaniaHapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA
Kwa nini tuwaulize wenye shughuli za utalii wakati wewe umeziona cancellations? Ziweke hapaWaulize wanaofanya shughul za utakii cancelation za kutosha
Kwa akili zako unafikiri huyo kiongozi mwenye shibe anapowatembelea wananchi wake wenye njaa usalama wake utakuwepo kweli.But Unafikiri hapo atakayekosa chakula ni nani? Viongozi na familia zao ?kampeni huenda ni wakenya wanai sapoti.
Unyama tuhayo madola yakikata ata internet hutaweza kutumia utarudi village
we ni mjinga sanaUnyama tu
Wewe ndo jingawe ni mjinga sana
ACHA ikatehayo madola yakikata ata internet hutaweza kutumia utarudi village
we ni mjinga sanaACHA ikate