PostGE2025 Kampeni inayoendelea Marekani kuwataka watalii kutotembelea Tanzania ni mwiba mchungu kwa Serikali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mh. Naibu Waziri Paul Christian makonda anaruhusiwa kuja huko kwasasa?
 
Kwa hiyo kauli mbinu ina semaje tembelea Tanzania ubakwe au inasema vinge
 
Kwa ule ugaidi uliofanyika oct 29 sidhani kama kuna mtalii atataka kuhatarisha maisha yake kuja Tz.
 
Mambo yanazidi kwenda ovyo ovyo tu
ukitoa ushauri serikali hii fake wanasema tusi!

Tunaelekea shimoni.
 
Haya kunazidi kuchangamka uingereza imewaonya raia wake safari Za tanzania sasa hao watalii unaosema wewe sijui watatoka wap wa kujaza hizo hotel
endelea kujitengenezea taarifa nmekutumia gazetib apo usome umelikimbia 😂😂
 
wameshahakikishiwa usalama hivo watalii lazima wajae, usipoenda tanzania hamna sehem ingine kuna utalii mkubwa zaidi ya hapa
Kuhakikishiwa usalama? Wapiga kura walihakikishiwa usalama na Samia ila mwisho wa siku nini kikatokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…