unapenda kujitengenezea taarifs 😂Haya kunazidi kuchangamka uingereza imewaonya raia wake safari Za tanzania sasa hao watalii unaosema wewe sijui watatoka wap wa kujaza hizo hotel
Mkuu! Unaripoti kutoka USA RIVER?Hatuja pona na covid inakuja hii. Machafuko huchukua muda sana nchi kuaminika. Reforms za haraka kurudisha imani kwa watalii. Vinginevyo,shida kubwa sana huko mbele.
Samia ndio aliwahakikishia usalama nyie wapiga kura wake dhidi ya waandamanaji ila mwisho wa siku akatembeza chuma hadi kwenu wapiga kura wake.usalama wa kuvunja vituo? lazima mle chuma
hamna mpira kura aliepata hilo tatizo, infact ata waandamanaji wa kwanza hawakupata tatizo lolote shida ilianza kwenye wiziSamia ndio aliwahakikishia usalama nyie wapiga kura wake dhidi ya waandamanaji ila mwisho wa siku akatembeza chuma hadi kwenu wapiga kura wake.
Hao waandamanaji wa kwanza hawakupata tatizo lolote wakati huo polisi walikuwa wapi? Maana maandamano yalikatazwa kabisa.hamna mpira kura aliepata hilo tatizo, infact ata waandamanaji wa kwanza hawakupata tatizo lolote shida ilianza kwenye wizi
Bila ya Uongozi wa Kikwete na huyu mama kuondolewa Nchini Watu wake watateseka sana Siku za usoni!!Who cares then?
Unalazimisha kuongoza watu ambao hawakutaki in and out kwa kuwaua?
kwahio mkaamua kutumia nguvu si ndio?Hao waandamanaji wa kwanza hawakupata tatizo lolote wakati huo polisi walikuwa wapi? Maana maandamano yalikatazwa kabisa.
Polisi ndio walishatangaza kutumia kwa watakao andamana na ni kweli walifanya kweli.kwahio mkaamua kutumia nguvu si ndio?
saahv ni kimya kimya amna cha mwananyamala tena yaani unafyeka kuzikaPolisi ndio walishatangaza kutumia kwa watakao andamana na ni kweli walifanya kweli.
itaangukia pua unataka vijana wakose ajira?Hapa Marekani kuna watanzania Kwa kushirikiana na kampuni za kuratibu safari za watalii, wameanzisha kampeni ya kutaka watalii wa kimarekani wasitembelee Tanzania.
Kampeni hiyo inaenda na strong evidence za Watu kutekwa, kuuliwa, kubakwa, kulawitiwa na mauaji siku ya uchaguzi.
Ikumbukwe ya kwamba priority namba Moja ya mtalii kuchagua destination ni amani katika nchi anayoenda.
Kwa matukio yaliyotokea Tanzania, sekta ya utalii Italia kilio cha kusaga meno.
Na mapato ya utalii kwa mwaka ya $5b yataporomoka vibaya mnoo.
Aione
CIC
Kikwete.
Mto wa Mbu,
USA