Uchaguzi 2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

Wanaoenda kwenye mikutano ya CCM ndio wapiga kura,waendao kwenye mikutano ya vyama vya upinzani hawajajiandikisha!!!
Kweli CCM imefanikiwa kwa asilimia mia moja kuwafanya misukule.
😂😂😂 Ni wapi nimeandika hivyo? Hao wahuni wanaodeki barabara hakuna mpiga Kura hata mmoja,hata kama utaamua kibisha.
 
Atabaki kwenye mioyo yenu lakini sio Raisi wa nchi.
Nchi ni kitu kingine.
 
View attachment 1602046

Wafuasi wa huyu jamaa ndio wanatakiwa kupelekwa Mirembe Mental Hospital!
Raisi alieko madarakani akifanya vizuri sana lazima aue vyama vya upinzan indirectly,
Anyways upinzani ni muhimu sana kwa nchi kuendelea for long Run, ila sii upinzan wanaopinga kila kitu, upinzan wanaopima kila kitu ni kirusi katika maendeleo, huyu jamaa japo anaua upinzan ila pia anafanya maendeleo
Kinachomboa nahisi ni aina ya wapinzan anaowaona, wapinzani wasiojielewa na wanaopinga kila kitu, kweli wapinzani wa Tz ndo wamekuwa wa kupinga kujengwa barabara au kuwabana wawekezaji kwenye sector ya madini kweli, afu na mimi mtu mwenye akili zangu nikae nianze kushabikia upinzan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kweli binadam tunatofautiana sana kufikiria
 
Je Tundu Lissu atakuwa na uwezo wa kuleta mabadiliko ya msingi au na yeye anatafuta kula.
 
Watu wana mihemko tu ukimuuliza mtu kwanini Lissu ?hana sababu za msingi,yani anaweza kukuelezea sababu hata mia kwanini ccm na magufuli wake hawafai ila hana sababu za kwanini anayefaa ni Lissu.
 
Hivi Lissu angehamia ACT angekuwa na nguvu kama Maalim seifu au ndio watu wangempotezea tu?
 
Naona dish limeshayumba
 
Watu wana mihemko tu ukimuuliza mtu kwanini Lissu ?hana sababu za msingi,yani anaweza kukuelezea sababu hata mia kwanini ccm na magufuli wake hawafai ila hana sababu za kwanini anayefaa ni Lissu.

Sababu ni kwamba alipigwa risasi 16 na ni kamanda mwenye uwezo wa kutukana 24/7, whether yuko nchini au nje ya nchi!
 
Umeusema ukweli wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…