LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Ukiweka bango jiandae kupambana na TRAIla CHADEMA bwana..Kushindwa kumudu gharama za mabango imekuwa kama ni jambo walilo plan.
Au ndio sihitaji hizi ni Mbichi, ili hali ni Mbivu(hadithi ya sungura).
Anyways..Mie huku mtaani naona vipeperushi vyao na wagombea wao kama vya wale wa Jiunge na freemason😂😂
Hii kauli itakuwa na maana kama CDM wakielewa hawawezi kupata matokeo tofauti kwa mbinu zile zile.CCM muelewe kuwa si kila siku ni siku ya gulio
Uzuri ni kuwa humo humo ndani Kuna waliochoka na utawala huu. Wanatupa habari zote na ushahidi.Hii kauli itakuwa na maana kama CDM wakielewa hawawezi kupata matokeo tofauti kwa mbinu zile zile.
Hata nyie watu wenu wanatoa habari. Msipoingia barabarani baada ya 28 Oct. mtarudi kwenye maisha yenu ya kulalamika mitandaoni hadi 2025. Thats a fact.Uzuri ni kuwa humo humo ndani Kuna waliochoka na utawala huu. Wanatupa habari zote na ushahidi.
Acheni mtindio wa akili wa kupambanua mambo. Kila binadamu anayo homon ya kupenda na kuchukia kitu ndan ya ubongo wake. Kumchagulia mtu apende unachopenda wew ni maono mfu na upungufu wa elinu dunia kichwani. Mwanamke uliyonae kuna waliomuona kabla yako, hawakumpenda ukampenda wew. Wew kuwa nae si dhambi kwa hasijempenda. Hiyo ni kaz ya homon. Nendeni shule mkapunguze utindio wa akili. Comment zingine ni aibu zanuWamo mchanganyiko.kunawenye matatizo ya akili,kuna mazezeta na piakuna mataahira.
Magufuli madini kakabidhi Barrick😅😅😅Africa nzima lazima ikushangae. Watu walipigana kufa na kupona ili kujiondoa kutoka kwenye mikono ya mabeberu halafu wewe unalilia kurudi kwenye mikono ya mabeberu kwa maslahi binafsi ya vibaraka fulani!
UmepanicAcheni mtindio wa akili wa kupambanua mambo. Kila binadamu anayo homon ya kupenda na kuchukia kitu ndan ya ubongo wake. Kumchagulia mtu apende unachopenda wew ni maono mfu na upungufu wa elinu dunia kichwani. Mwanamke uliyonae kuna waliomuona kabla yako, hawakumpenda ukampenda wew. Wew kuwa nae si dhambi kwa hasijempenda. Hiyo ni kaz ya homon. Nendeni shule mkapunguze utindio wa akili. Comment zingine ni aibu zanu
Sio kweliNimekaa na kufatilia, wanaompenda lissu na CHADEMA wana matatizo ya akili
Kabisa mkuuMmoja Ni wakala wa Mungu mwingine ibilisi
Wao hawaoni shida kuweka chochote. Achana nao utapata laana bure.Bosi unaweka nini ili tu beti
Hakuna wa kushindana na Magufuli akashinda.
Lissu yumo mioyoni mwa wanachama na washabiki wa Mbowe tu, watanzania wazalendo tunakwenda na JPM.
na ataishia kua rahisi wa mioyo yenu
Shemeji nilichokigundua ni kwamba mnajaribu kutengeneza vi mada vya kujifariji, lakini mioyoni mwenu mnajua kabisa kichapo hakikwepeki
Mkuu Yoda Natafuta namna nzuri ya kukujibu lakin inashindikana, okay tuache liserereke hadi litakapogoteaJizuie usitumie maneno ya ushabiki wa mpira unapoongelea hatma ya maisha yako na ya ndugu zako kwa miaka mitano ijayo.
Hawa watu wanapenda sana ushogaWao hawaoni shida kuweka chochote. Achana nao utapata laana bure.View attachment 1603809