raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Acha watu wale pesa tuAcha watafune tu pesa watakavyo
Kikubwa wasitusahau sisi huku kajamba nani
Ova
Pesa yenyewe ni mfumo wa kihuni huni tu 😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha watu wale pesa tuAcha watafune tu pesa watakavyo
Kikubwa wasitusahau sisi huku kajamba nani
Ova
Kwanza jifunze kuandika vizuri kiswahili, pili huyo "mtu wa juu serikalini aliye takukuru" alikuwa anakueleza ili iweje ? Je angekwambia ilitumika bil 300 ? Tatu, azimio la kumpongeza Samia ni la bunge, tangu lini bunge likatumia bil 80 kwa siku ?Wadau akatika kuongea na mdau serikalinlin ngazi za juu kanitonya kuwa gharama iliyotumia katika kampeni ya kumpongeza SAmia inakadiliww kufikia sh Billion 80Tz..Hizi ni Gharama za posho za vikao vya kamatinmbalimbali kuanzia ngazi ya serikali na chama Kwenye kata ..wilaya..mkoa na Taifa,,Gharama za vyombo vya habari,,machapisho..mango etc.Huyu mtu Yuko ofisi ya Takukuru.. Kanitonya hivyo ni Kwa mjibu WA kioort walizozikuswbya na bado wanaendele kuzifanyia KAZI.Kwa kifupi kila sherehe unayoona ni upigaji ndo agenda iliyo nyuma yake.Je nibfair kutumia billion 80 Kwenye sherehe ya kumpongeza wakati shule za msingi hazina hata vyoo vya maana??
Umeonaeee...Ndio jinsi pesa inavyoingia kwenye mzunguko hivyo 😃 wataalam wa uchumi wanasema inaleta kitu inaitwa multiplier effect
Serikali haina hela, ina Kodi na rasilimali zetu.Ukipata nafasi ya kula ela ya serikali kula kadri ya uwezo wako
1. Siyo tu tittle mwandiko mbovu! Andika vizuri, tulia, hakiki kazi yako na uondoe makosa yote. 2. Kuwa scientific kwa kuweka evidence. Tujue kwa mfano, ni media zipi na zimelipwa kiasi gani na nani waliopokea? Huko wilayani wamelipwa nan na kiasi gani ? 🙏🙏🙏Mods nisaidie Kwenye title isomekea kampeni na siyo kampuni
Whats the problem so far,Wadau akatika kuongea na mdau serikalinlin ngazi za juu kanitonya kuwa gharama iliyotumia katika kampeni ya kumpongeza SAmia inakadiliww kufikia sh Billion 80Tz..Hizi ni Gharama za posho za vikao vya kamatinmbalimbali kuanzia ngazi ya serikali na chama Kwenye kata ..wilaya..mkoa na Taifa,,Gharama za vyombo vya habari,,machapisho..mango etc.Huyu mtu Yuko ofisi ya Takukuru.. Kanitonya hivyo ni Kwa mjibu WA kioort walizozikuswbya na bado wanaendele kuzifanyia KAZI.Kwa kifupi kila sherehe unayoona ni upigaji ndo agenda iliyo nyuma yake.Je nibfair kutumia billion 80 Kwenye sherehe ya kumpongeza wakati shule za msingi hazina hata vyoo vya maana??
😀😀😀 Niko namfatilia Trump kimataifa zaidi, Siasa za Bongo pasua kichwa!
Ahahahaaj😀😀😀 Niko namfatilia Trump kimataifa zaidi, Siasa za Bongo pasua kichwa!
Mbona huhoji bajeti ya ujenzi wa CHATOSwali simple, je ilikuwa ni kampeni ya serikali? Ilikuwa inatumia bajeti ipi?
Nyani haoni kundule? Au wahuni hawa wanafanya show/usanii tuWadau akatika kuongea na mdau serikalinlin ngazi za juu kanitonya kuwa gharama iliyotumia katika kampeni ya kumpongeza SAmia inakadiliww kufikia sh Billion 80Tz..Hizi ni Gharama za posho za vikao vya kamatinmbalimbali kuanzia ngazi ya serikali na chama Kwenye kata ..wilaya..mkoa na Taifa,,Gharama za vyombo vya habari,,machapisho..mango etc.Huyu mtu Yuko ofisi ya Takukuru.. Kanitonya hivyo ni Kwa mjibu WA kioort walizozikuswbya na bado wanaendele kuzifanyia KAZI.Kwa kifupi kila sherehe unayoona ni upigaji ndo agenda iliyo nyuma yake.Je nibfair kutumia billion 80 Kwenye sherehe ya kumpongeza wakati shule za msingi hazina hata vyoo vya maa
Tatizo umeweka maneno mengi sana..... kikubwa ni kusema tu imetumika au hapana!Jibu kwanza ulikoona hayo matumizi ya billion 80? Unaijuwa billion 80?
🤣🤣Umekalia majungu tu, unahisi kila mahali ni vijiwe vya kahawa. Ukiambiwa utoe ushahidi wa hiyo bilioni 80 utaweza?
Eti mtu mkubwa takukuru, unahisi kila mtu pimbi umdanganye kindezi
Fanya kazi acha ujinga
Kama ni kweli Samia #}€+^]\?•>!~%!!!****!!!!!Wadau akatika kuongea na mdau serikalinlin ngazi za juu kanitonya kuwa gharama iliyotumia katika kampeni ya kumpongeza SAmia inakadiliww kufikia sh Billion 80Tz..Hizi ni Gharama za posho za vikao vya kamatinmbalimbali kuanzia ngazi ya serikali na chama Kwenye kata ..wilaya..mkoa na Taifa,,Gharama za vyombo vya habari,,machapisho..mango etc.Huyu mtu Yuko ofisi ya Takukuru.. Kanitonya hivyo ni Kwa mjibu WA kioort walizozikuswbya na bado wanaendele kuzifanyia KAZI.Kwa kifupi kila sherehe unayoona ni upigaji ndo agenda iliyo nyuma yake.Je nibfair kutumia billion 80 Kwenye sherehe ya kumpongeza wakati shule za msingi hazina hata vyoo vya maana??
Habar ni ya umbea ,hakuna uthibitisho wowote juu ya habar hii,nawaomba habari kama hizi zipuuzeni na haswa mkiwa na Akili timamu kama mmWadau akatika kuongea na mdau serikalinlin ngazi za juu kanitonya kuwa gharama iliyotumia katika kampeni ya kumpongeza SAmia inakadiliww kufikia sh Billion 80Tz..Hizi ni Gharama za posho za vikao vya kamatinmbalimbali kuanzia ngazi ya serikali na chama Kwenye kata ..wilaya..mkoa na Taifa,,Gharama za vyombo vya habari,,machapisho..mango etc.Huyu mtu Yuko ofisi ya Takukuru.. Kanitonya hivyo ni Kwa mjibu WA kioort walizozikuswbya na bado wanaendele kuzifanyia KAZI.Kwa kifupi kila sherehe unayoona ni upigaji ndo agenda iliyo nyuma yake.Je nibfair kutumia billion 80 Kwenye sherehe ya kumpongeza wakati shule za msingi hazina hata vyoo vya maana??
Haya uliye na takwimu sahihi tuambie zimetumika billion ngapiHabar ni ya umbea ,hakuna uthibitisho wowote juu ya habar hii,nawaomba habari kama hizi zipuuzeni na haswa mkiwa na Akili timamu kama mm