Tetesi: Kampeni ya kumpongeza Rais Samia imetumia billion 80. Je, huu sio upigaji?

Umekalia majungu tu, unahisi kila mahali ni vijiwe vya kahawa. Ukiambiwa utoe ushahidi wa hiyo bilioni 80 utaweza?

Eti mtu mkubwa takukuru, unahisi kila mtu pimbi umdanganye kindezi

Fanya kazi acha ujinga
Inawezekana isiwe kiasi hicho chote ila kwa mtazamo wangu kupoteza hata senti moja tu kwa ajili ya upuuzi huo ni matumizi mabaya ya pesa.
Ningekuwa Mimi ndiyo rais ningewapiga marafuku kutumia pesa kwa uzembe huo
 
Hapa nakuunga mkono.
Inawezekana isiwe kiasi hicho chote ila kwa mtazamo wangu kupoteza hata senti moja tu kwa ajili ya upuuzi huo ni matumizi mabaya ya pesa.
Ningekuwa Mimi ndiyo rais ningewapiga marafuku kutumia pesa kwa uzembe huo
 

Kwani Hata ingetumia trillion tuna Nini la kufanya zaidi ya kulalama?
 
Acha upumbavu,,unadhan mabango na watu waliokuja Kwenye makongamano pesa imetoka wapi?pesa ya vyombo vya habari imetoka wapi?hakiwezi Kula billion 80 za wananachi harafu tukiwaukiza mnakuwa wakali..Subiri report ya CAG ya Mwaka keshokutwa
 
Hii hela wangepewa tanesco,hii hela wangepewa dawasa,hii hela ilitosha kabisa kuvinululia vijiji kadhaa matrekta kama kweli tunamaanisha kilimo cha kisasa ingetosha kuyasakafia masoko yetu nchi nzima maana juzi nilikatiza pale soko la samunge Arusha nkawaona wale wamama wanavyogelea kwa kuuza bidhaa zao kwenye matope na hizi mvua daah hizi hela chawa wajiulize sana wanaumia kwenye haya masoko ni baba zetu na mama zao lakini wakaona heri wazitapanye kwa vitu ambavyo vilikuwa havina umuhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…