Kampeni ya Kumshawishi Rais Magufuli Ajiunge JF

Ok
 
Nikuulize wazazi wako na huyu nani unamheshimu zaidi

Ha ha ha haaaa

Jisikitikie kabisaaaaaaaaaaaaaaaa kwanza

Halafu wite nyie ni wale wale msioipenda awamu ya tano.

Anzeni kuwaomba Mbowe na Lowassa wafanye hayo kwanza tuwaone nao humuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii thread hii! Mh, aya ngoja tuone,,,,,,
 
Wala asije,nani anataka kesi za kutakatisha fedha au uhujumi uchumi?
 
hata hapa nawasikia..au mnataka niwe verified ili mnitupie matusi afu kesho niwekwe font fed kwenye Mwananchi.
Nb watch it out hata kama kuna Uhuru wa kutoa maoni ila not to that extent
 
hata hapa nawasikia..au mnataka niwe verified ili mnitupie matusi afu kesho niwekwe font fed kwenye Mwananchi.
Nb watch it out hata kama kuna Uhuru wa kutoa maoni ila not to that extent
Labda wanataka kukuomba ukuu wa Mkoa na wilaya.
 
Ha ha ha haaaa

Jisikitikie kabisaaaaaaaaaaaaaaaa kwanza

Halafu wite nyie ni wale wale msioipenda awamu ya tano.

Anzeni kuwaomba Mbowe na Lowassa wafanye hayo kwanza tuwaone nao humuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kama siipendi nina sababu, it is not from nowhere. Nawewe unaona lakini kwa vile unanufaika na uonevu/ukatili/udikiteita/kupoteza watu huu unafumba macho ili mkono uende kinywani
 
Bwana mkubwa ni member humu na huenda akiamka asubuhi anaamkia kwanza humu kabla ya kusoma gazeti la Uhuru au Tanzania Daima. Kama anaweza kuangalia kipindi choooote cha SHILAWADU cha Mawingu na kuwapigia simu, hawezi kukosa kupitiapitia ''ushilawadu'' wa MMU.
 
Ha ha ha haaaa

Jisikitikie kabisaaaaaaaaaaaaaaaa kwanza

Halafu wite nyie ni wale wale msioipenda awamu ya tano.

Anzeni kuwaomba Mbowe na Lowassa wafanye hayo kwanza tuwaone nao humuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Le mutuz
 
Mkuu unauhakika kuwa humu hayupo?ngoja ninyamaze nisiongee mengine humu sio ya kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…