Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkMtu mwenye uwezo mkubwa wa kukariri, kusoma na kuweka kumbukumbu kama JPM hawezi kukosa humu ninachotamani ni yeye kuingia kwa jina lake halisi na akaanzisha uzi wa :KATIKA UTAWALA WA AWAMU HII NINI UNGEPENDA NIFANYE, hapa angepata mawazo sahihi yasiyo ya woga
Unaua mkuuYumo humu si ndio anajiitaga Raimundo
Nikuulize wazazi wako na huyu nani unamheshimu zaidi
Wala asije,nani anataka kesi za kutakatisha fedha au uhujumi uchumi?Wana Jukwaa, sasa tuanzishe kampeni ya kuhakikisha Rais wetu JPM anakuwa verified member humu Jamii forum
Haiwezekani Rais atumie mtandao wa Twitter pekee wakati kuna mtandao wa kizalendo ambao ndio Mtandao unaokusanya kero na matatizo ya watanzania.
Hivyo popote Msaidizi wa Rais, au uliyekaribu na Rais tunakuomba umweleze Mh Rais kwamba Wana Great Thinker wanamhitaji humu, na humu ndio sehemu pekee tunaweza tukadiscuss mambo yetu.
Karibu Mh Rais Dr. John Magufuli
Cc Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Paul Makonda hk kigwangala, Msigwa, Rithiwan Kikwete, Humphrey Polepole
![]()
Labda wanataka kukuomba ukuu wa Mkoa na wilaya.hata hapa nawasikia..au mnataka niwe verified ili mnitupie matusi afu kesho niwekwe font fed kwenye Mwananchi.
Nb watch it out hata kama kuna Uhuru wa kutoa maoni ila not to that extent
Kama siipendi nina sababu, it is not from nowhere. Nawewe unaona lakini kwa vile unanufaika na uonevu/ukatili/udikiteita/kupoteza watu huu unafumba macho ili mkono uende kinywaniHa ha ha haaaa
Jisikitikie kabisaaaaaaaaaaaaaaaa kwanza
Halafu wite nyie ni wale wale msioipenda awamu ya tano.
Anzeni kuwaomba Mbowe na Lowassa wafanye hayo kwanza tuwaone nao humu😀😀😀
Mkuu ww si Mfia chama?Atapigwa ban kwa matusi yake
Le mutuzHa ha ha haaaa
Jisikitikie kabisaaaaaaaaaaaaaaaa kwanza
Halafu wite nyie ni wale wale msioipenda awamu ya tano.
Anzeni kuwaomba Mbowe na Lowassa wafanye hayo kwanza tuwaone nao humu😀😀😀
kukosoa ni jambo la kawaidaSipati picha wale wanaomkosoa itakuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana aishie hukohuko akija hapa atataka uadmin hapo ndo tutajaa wote Segerea
Mkuu unauhakika kuwa humu hayupo?ngoja ninyamaze nisiongee mengine humu sio ya kuongeaWana Jukwaa, sasa tuanzishe kampeni ya kuhakikisha Rais wetu JPM anakuwa verified member humu Jamii forum
Haiwezekani Rais atumie mtandao wa Twitter pekee wakati kuna mtandao wa kizalendo ambao ndio Mtandao unaokusanya kero na matatizo ya watanzania.
Hivyo popote Msaidizi wa Rais, au uliyekaribu na Rais tunakuomba umweleze Mh Rais kwamba Wana Great Thinker wanamhitaji humu, na humu ndio sehemu pekee tunaweza tukadiscuss mambo yetu.
Karibu Mh Rais Dr. John Magufuli
Cc Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Paul Makonda hk kigwangala, Msigwa, Rithiwan Kikwete, Humphrey Polepole
![]()
Na ni msomaji mzuri sana wa huu mtandaoYupo sema anapitaga kimya kimya... Ulipomsikia akisema anatamani malaika waifungie mitandao si ni baada ya kuchefukwa na wana JF! 🙄🙄