Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Na likesUnatafuta viewers?
Yaani nitafute viewers mimi? Inawezekana ndio wa juzijuzi wewe duhUnatafuta viewers?
Aah wapi subiri uone oktobaTofauti ya sasa ni kwamba Watanzania hawako tu online ,, wako tayari offline pia.
Usidharau nguvu ya kizazi kinachosema hatupigi kura bila mabadiliko ,hiki si kizazi cha kungoja miujiza, ni kizazi cha kusababisha mabadiliko.
Wewe ndio inawezekana wa juziYaani nitafute viewers mimi? Inawezekana ndio wa juzijuzi wewe duh
This is time wasted.Katika onesho hili la leo podcast nazungumzia mantiki na uwezekano wa kampeni hii kufanikiwa na kama katika hali iliyopo sasa CHADEMA Kampeni ya No-No inaweza kufanikiwa au kunahitajika mkakati mwingine bora zaidi isije ikawa ni kampeni ambayo mwisho wake ni kwenye keyboard za komputa na za simu.
Hii "NO REFORM, NO ELECTION" haifanani kwa vyovyote na hizo unazotaka kuaminisha watu kuwa inafanana nazo. Huenda ni kutaka kuzitumia tu hizo huko kujenga hoja isiyokuwa na msingi wowote katika hali tuliyo nayo Tanzania.Kauli hii si ngeni katika eneo letu la Afrika ya Mashariki. Imetumiwa na Kiiza Besigye kule Uganda miaka kumi hivi iliyopita na miaka kama nane nyuma ilitumiwa na Raila Odinga na ushirika wa NASA kule Kenya. Chadema wameicopy na kuipaste wakitumaini kuwa inaweza kuleta mafanikio katika kuilazimisha CCM ilete mabadiliko ambayo yatafanya iwe rahisi kwa vyama vya upinzani kuiondoa madarakani.
EEEeeennHEEEEeeee!Aah wapi subiri uone oktoba
Wewe unadhani ni kitu gani kitafaa hawa ''mataahira'' watanzania? Hebu kama una njia tuwekee hapa. Mimi nadhani haijalishi kama itafaa au haifai, lakini kwenda kwenye uchaguzi kwa hali ilivyo ni kama ukichaa.Hii campaign ilifaaa nchi kama Kenya ambapo watu wana akili,sio kwa matahira sisi ya kitanzania.
Labda kama ni long term plan.
We bwege unaota mchanaTofauti ya sasa ni kwamba Watanzania hawako tu online ,, wako tayari offline pia.
Usidharau nguvu ya kizazi kinachosema hatupigi kura bila mabadiliko ,hiki si kizazi cha kungoja miujiza, ni kizazi cha kusababisha mabadiliko.
Bado unaamini CCM inao uhai wa miaka madarakani hadi CHADEMA wapoteze muda wa kwenda kutafuta dawa huko kwingine?CHADEMA, baada ya huu uchafuzi wa mwaka huu; ingieni field!
Tumeni wataalamu wenu ndani ya chama waende kwenye nchi ambazo vyama vyao vilifanikiwa kuviondoa vyama tawala madarakani! Mfano Senegal, Botswana, Malawi, Zambia, Ivory Coast, Nigeria, Ghana, nk. Nendeni mkajifunze mbinu walizotumia.
Maana hizi mbinu za sasa mnazotumia, zimeshindwa. Kama ni wizi wa kura, sasa imekuwa ni zaidi ya hapo kabla!!
Nadhani kuna kitu muhimu sana alichokisahau huko ndani ya CCM; maanake CCM aliyokuwa akiandika habari zake miaka ya nyuma ni tofauti kabisa na hii CCM iliyopo chini ya Samia sasa hivi. Lakini yeye kakomaa vile vile na CCM! Au ni jina ndilo linamfanya asiamini kuwa hii ni CCM tofauti kabisa na ile ya miaka ya nyuma?Wewe unadhani ni kitu gani kitafaa hawa ''mataahira'' watanzania? Hebu kama una njia tuwekee hapa. Mimi nadhani haijalishi kama itafaa au haifai, lakini kwenda kwenye uchaguzi kwa hali ilivyo ni kama ukichaa.