Ana hoj nzito sana, Mungu ambarikiUnatafuta viewers?
Huoni hadi anajiteua yeye kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho? Unataka uthibitisho wa namna gani kujuwa kuwa yupo juu ya chama?Mkuu utafanya kosa kubwa sana kudhania Samia yuko juu ya CCM....
Kwa kutotaka kupoteza muda juu ya jambo hili kukufafanulia tofauti zilizopo kwa sasa...; NARC Kenya hawakufanikiwa kukomesha utawala wa KANU chini ya Moi?Walichokuwa wanataka Kenya na Uganda na wanachotaka Tanzania vina tofauti gani?
Babu umesha pewa shati lakitenge la kijani na kofia nini,sio kwa kuwaelewa huko ghafla namna hiyo!Aah wapi subiri uone oktoba
Kampeni ya No Reforms No Elections (No-No Campaign) imeanza kupamba moto. Maneno yake yanasikika vizuri masikioni mwa Watanzania na Watanzania wengi hasa mitandaoni wamekuwa wakirudia kauli hii kuonesha kuunga kwao mkono harakati za mabadiliko nchini.
Kauli hii si ngeni katika eneo letu la Afrika ya Mashariki. Imetumiwa na Kiiza Besigye kule Uganda miaka kumi hivi iliyopita na miaka kama nane nyuma ilitumiwa na Raila Odinga na ushirika wa NASA kule Kenya. Chadema wameicopy na kuipaste wakitumaini kuwa inaweza kuleta mafanikio katika kuilazimisha CCM ilete mabadiliko ambayo yatafanya iwe rahisi kwa vyama vya upinzani kuiondoa madarakani.
Katika onesho hili la leo podcast nazungumzia mantiki na uwezekano wa kampeni hii kufanikiwa na kama katika hali iliyopo sasa CHADEMA Kampeni ya No-No inaweza kufanikiwa au kunahitajika mkakati mwingine bora zaidi isije ikawa ni kampeni ambayo mwisho wake ni kwenye keyboard za komputa na za simu.
View: https://youtu.be/cyGnk6oC0Pg
Mzee Mwanakijiji naomba msamaha kwa niaba ya ndugu Donnie CharlieYaani nitafute viewers mimi? Inawezekana ndio wa juzijuzi wewe duh
watapiga sawa, ila kuna kitu hakitakaa sawa, hizi juhudi hazita enda bure. Utakuja kuleta uzi ww mwenyewe kuhusu hili jamboAah wapi subiri uone oktoba
Wanaweza kuongeza idadi ya kura maradufu kwa hesabu ya sensa ya watu ili kudanganya dunia. #No reforms No electionNimekuwa CHADEMA kwa miaka 20 Sasa. Tangu wakati huo mpaka Sasa hatujawahi kuwa na harakati (Movement) iliyoanzia kwa wananchi kama hii ya NO REFORMS NO ELECTION.
Watu wengi wanajisahaulisha kuwa ni wananchi wenyewe bila ya kushawishiwa na CHADEMA ndiyo baada ya uhuni uliofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 walisema kuwa hawatapiga kura kama kanuni na Sheria mbali mbali za kiuchaguzi hazitarekebishwa.
Na ushahidi ni uchaguzi wa mwaka 2024 wa Serikali za mitaa ambao ushiriki wa wananchi ulikuwa wa chini kabisa kwenye historia ya uchaguzi huo.
Kwa ivo nguvu ya NO REFORMS NO ELECTION haitokani na CHADEMA bali inatoka kwa wananchi wengi wa Tanzania waliopoteza Imani na mifumo ya kiuchaguzi ya nchi hii.
Kwa mtazamo wangu kaulimbiu ya NO REFORMS NO ELECTION inaweza kufifia, lakini wananchi wengi hawatakwenda kupiga kura kama mifumo ya kiuchaguzi haitabadilishwa na kuaminika Kwa wengi.
Moto huanza na cheche na mwanzo wa Ngoma ni lele!
Ukamatwe unajifanya OCSMzee Mwanakijiji naomba msamaha kwa niaba ya ndugu Donnie Charlie
Inabidi apitie post zako za miaka 5 huko iliyopita ndio atajua hajui.
Hio kaulimbiu yenu si imekatazwa mitandaoni lakini!!
Ipi hiyo...Hio kaulimbiu yenu si imekatazwa mitandaoni lakini!!
NorifomnoelekshioooIpi hiyo...
Sina taarifa ba hiyo kauli mbiu..Norifomnoelekshiooo
Weee jichanganye Usiseme sijakukumbushaSina taarifa ba hiyo kauli mbiu..
Wewe ni kichaa unadhani simfahamu? Hebu kwanza angalia mda niliojiunga rasmi humu achilia mbali kutumia tu jf.Mzee Mwanakijiji naomba msamaha kwa niaba ya ndugu Donnie Charlie
Inabidi apitie post zako za miaka 5 huko iliyopita ndio atajua hajui.
Yule aliyesema na yeye anachangia tone tone ni OCS?Ukamatwe unajifanya OCS