PreGE2025 Kampeni ya No Reforms No Election (No-No Campaign) ni Mtego Usionasa? CHADEMA Matatani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ngoja nitumie telnolojia kutambua jina LA mwenye sauti hii
 
Mkuu utafanya kosa kubwa sana kudhania Samia yuko juu ya CCM....
Huoni hadi anajiteua yeye kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho? Unataka uthibitisho wa namna gani kujuwa kuwa yupo juu ya chama?

Hata kama asingekuwa juu ya chama, yeye kama yeye. Hilo GENGE linalokishikilia chama wakati huu, bado unafikiri ni kundi la watu/viongozi kama wale wale wa zamani waliokuwa wakikiendesha chama hicho?
Angalia Kamati Kuu ya Chama iliyopo sasa, halafu unieleze nani ndani ya kamati hiyo anao uzito wa kutoa hoja akasikilizwa! Halmashauri Kuu, hivyo hivyo.
CCM kilichobaki tu, ni muundo wake, ambao sasa unatumiwa na GENGE kufanya uchafu; kama ule wa kuharibu chaguzi zote.
 
No REFORMS No ELECTION
 
Wanaweza kuongeza idadi ya kura maradufu kwa hesabu ya sensa ya watu ili kudanganya dunia. #No reforms No election
 

Attachments

  • 5fb83bfb-4fca-419f-beb5-1b3689a90c0c.jpeg
    47.5 KB · Views: 12
Mzee Mwanakijiju karusha jiwe halafu kajificha anasikilizia kelele, teh teh .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…