Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

Ukiona mpinzani wako anasikitika vile unavyoendesha mambo yako hadi kufikia hatua ya kukushauri cha kufanya ili ushinde wewe jua tuu ni ulishamshinda, yaani wewe ni mshindi

Hongera kwao CCM
Mbona unamsema meko kiaina,habari za kumwomba lissu ajitoe kwenye uchaguzi mwaka huu hamna.
 
Maendeleo aliyofanya ni 70% ya kampeni saizi anamalizia 30% iliyobaki kwa kupanda majukwaani kuomba kura. Mwamba ameshashinda mioyoni mwa wazalendo wote tunasubiri 28 kuthibitisha tu kwenye karatasi
 
wewe unahangaika nini.si uendelee kuhudhuria kampen za mgombea wako.acha unayeona anapumziak.matakacle yanakuwsha??
 
wewe unahangaika nini.si uendelee kuhudhuria kampen za mgombea wako.acha unayeona anapumziak.matakacle yanakuwsha??
 
Gari la mkaa trip moja porini, Siku nne gereji.
 
Tinakushukuru kwa Ushauri wako, tutauchuja na tutaufikiria
 
He is sick and tired, hawezi vurugu za kampeni, ndio maana Waziri Mkuu anavunja sheria za uchaguzi makusudi ili kuokoa jahazi, sheria kwenye kampeni anatakiwa mgombea na mgombea mwenza pekee.
Hivi Magufuli na Lissu nani mgonjwa hata kwa kuangalia kwa macho
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…