Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

 
Hivi ukitoa maneno yoote hapo uloandika ukabakiza "msaliti Lisu", ukiambiwa elezea utaandika usaliti wake nini au umekariri tu!?

Sent from my Redmi Y1 using JamiiForums mobile app
 
Polepole na bashiru wameuiwa ccm si Wana ccm wamefata maslai thus utoa mawazo mfu yasiyotija kwa chama.
1.Kununua wanaopigiwa kura badala ya wapiga kura.
2.Kuzuia bunge live
3.Kuuwa upinzani kwa kutumia polisi
4.Kununua bongofleva ili kujaza watu mikutano.
Awajui chochote kuhusu siasa.
 
Umewahi kujiuliza watanzania wanawaonaje wafuasi wa CCM???? Anything rubbish/useless in life = CCM
Unaishi Tanzania ipi hiyo!!? Endelea kubaki hukohuko ila John Pombe Magufuli ndio kila kitu🤣
 
Sasa kwa akili ya kawaida unategemea ccm watashinda bila kutumia ubavu , mapanga na mitutu ya bunduki ?

Ccm hawakubaliki na kila nwananchi mzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sikujua kuwa wafuasi wa Lissu na upinzani kwa ujumla wao, humu JF kwa lugha yako, hamna uelewa wa kisiasa, wapumbavu, wajinga na masikini.

Mwaweza kuniita mfuasi wa CCM lakini ukweli ubaki ukweli kuwa hicho chama, Uchaguzi Mkuu, mwaka huu, kinaendrsha kampeni kisiasa. Viongozi waandamizi, wenye kuheshimika kitaifa (Mzee Pinda, Mama Samia na Majaliwa) wamekuwa na wanaendelea kuzunguka Tanzania yote wakifanya kampeni kwa ajili ya CCM.

Niwakumbushe kuwa Uchaguzi, katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kampeni siyo ya mgombea dhidi ya mgombea, bali vyama kwa vyama, kunadi Sera. Kampeni za mgombea kwa mgombea huishia kwenye kura za maoni kutafuta wa kuteuliwa na chama.

Kwa kuwa hamjui hilo ndiyo maana bandiko na mijadala yenu ni VIOJA badala ya hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…