Magufuli ameharibu vitu vingi sana.
Kama Tanzania igekuwa ni nchi yenye kuwa na katiba nzuri, Raia wenye mwamko bora wa kisiasa (political will).
Katiba bora na Tume huru ya uchaguzi basi magufuli angekuwa anapumulia mashine.
Lissu alionya kuwa uchaguzi huu utakuwa mgumu sana na pia hataweza kukubali kuibiwa kura hata moja. Hayupo tayari kudhulumiwa haki kwa kigezo kuwa anamuachia Mungu.
Na pia lissu ana Connection kubwa na Nyingi nje ya nchi za kuakikisha uchaguzi unaenda kwa haki na amani
Kukosekana kwa katiba nzuri Policeccm Dola na Raia wasio na uelewa wa kisiasa, wapumbavu, wajinga na masikini basi CCM itashinda uchaguzi.