Uchaguzi 2020 Kampeni za mwaka huu CHADEMA itakuwa vituko. Eti ajenda yao Tundu Lissu kapigwa risasi

Mue na ushaid tu mnapokua mnatoa shutuma
 
CHADEMA inawayakosesha usingizi maccm na vibaraka wao.
 
Wananch mnao sema wanataka Uhuru wao tayar wamesha jiona wako huru
 
Wapi Ben Saanane
Nani walimpiga lisu risasi
Wapi Azory
Helsb
Uonevu
 
Ile picha yake iliyosambaa mtandaoni anayoonyesha majeraha ndio inatakiwa Iprintiwe kubwa kabisa isambazwe kila mkoa, wilaya, tarafa kata, vijiji na vitongoji.

Isitoshe iwe kwenye vipeperushi na ratiba za my kutano.

On the contrary CCM wanaonyesha picha za;
1. Ndege boing na Bombadier 9
2. Uwanja wa Ndege JNIA Terminal 2 na 3
3. Mwendokazi phase 2 mbagala
4. Meli za Mwanza
5. Upanuzi wa Bandati ya Dar es Salaam
6. SGR
7. Stigler Gourge
8. Kudhibiti uwindaji haram wa wanyama
9. Ujenzi wa vituo vya afya
10. Mfumo wa Elimu bila malipo kuanzia darasa la kwanza hadi firm IV

List ni ndefu kwa kweli
 
Hamna mwananch hata mmoja wa kawaida ambae anaweza kuikosoa serekal ya ccm
Hapa unawatukana watanzania na kumkufuru Mungu ni sawa na kusema watanzania wote wapumbavu kwakuwa hawawezi kuona maovu ya CCM hivyo hawawezi kuikosoa.
 
Mnalipwa nn kila mnapoandika ujinga ?
 
Haya Wala sio Mambo ya kujisifu kwasababu kwanza mmeichelewesha nchi yetu kwa miaka 50+ ya Uhuru mnajisifu kujenga vituo vya afya Leo wakati nyie ndio mmekuwepo toka Uhuru kifupi CCM ndio kikwazo Cha maendeleo hayo uliyoyaorodhesha tulitakiwa tuwe nayo toka 1985-90
 
natabili mpaka iyo October wapo watu watakua wanatembea peke yao wakiongea Chadema
Au wakati amelala itatokea kupiga kelele uku akitamka Chadema
Why kila Sikh nyuzi za chadema ,inaanzaa niingia akilini kwamba Wenda hiki Chama I shida
 
Mbona unailisha CHADEMA maneno?
Subiri kipenga kipulizwe, ... cha msingi mjiandae kisaikolojia tu!
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…