Angalia mlivyo wajinga,huyo Mbowe mnavomuogopa angekula hizo pesa angekua mtaani sahivi?achana na siasa za pccb wanazotaka kufanya,mlimfunga kwa kesi ya kusingizia kumuua akwilina mmeshindwa Nini kumfungulia mashitaka kwa hili la kisiasa mnaloliunda?.ccm mnakitete...tulieni vzr.Sio ujinga wa kumezea b8 bila kujal [emoji1787][emoji1787]
Mtoa mada una uwezo mdogo sana wa kujenga hoja. Yaani upo chini sana. Nakushairi usijisumbue tena kufanya hivi. Unajiaibisha wewe na familia yako na kukiathiri Chama chaji. Buk 7 huwezi pewa kwa upupu huuDah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke mpaka Basi
Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais
Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Miradi mikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya Tundu Lisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risasi alizo pigwa huku lawama wakiitupia serikali
Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampeni
Tundu Lisu kapigwa risasi
Akwelina kufa
Na tume huru
Embu tujiulize hivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua Tundu Lisu alipigwa risasi na serikali pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima Tundu Lissu ahojiwe na aziweke wazi shutuma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushahidi. Bila hivyo atataka apande watu kichwani
Swala la tume huru CHADEMA kulilia leo ni sawa na kujiaibisha kama Spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba
Duh...!Mbona ni kama unawasemea Mkuu au ndo wamekutuma ueleze ajenda zao ndo zitakuwa hizo?
Dah Kuna Mambo mtu yanaweza kukufanya ucheke mpaka Basi
Yale Mambo ya maskini kutumia kidonda ndio haya. Habari zilizo mezani mpaka sasa hivi ndugu YETU Tundu Lisu anakuja Tanzania kugombea kwa ticket ya chadema kwenye nafasi ya Urais
Wakat Rais John Pombe Magufuli anaonyesha Miradi mikubwa mikubwa ndani ya nchi na kuonesha watanzania ni jinsi gani chadema wao wamepanga kuja kuwaonyesha watanzania Miguu ya Tundu Lisu kwamba watakua wanazunguka nchi mzima kuonyesha watu Makovu ya risasi alizo pigwa huku lawama wakiitupia serikali
Baadh ya ajenda za CHADEMA mwaka huu wa kampeni
Tundu Lisu kapigwa risasi
Akwelina kufa
Na tume huru
Embu tujiulize hivi chadema Mpaka leo Wana uthibitisho kua Tundu Lisu alipigwa risasi na serikali pia CHADEMA wanatakiwa wajue kua lazima Tundu Lissu ahojiwe na aziweke wazi shutuma zake alizo kua anampelekea Rais moja kwa moja. Na aonyeshe ushahidi. Bila hivyo atataka apande watu kichwani
Swala la tume huru CHADEMA kulilia leo ni sawa na kujiaibisha kama Spika anashtakiwa kwa kuivunja katiba Basi hata chadema nao washtakiwe sababu kuikataa tume iliopo ni sawa na kutaka kuvunja katiba
J.mukya? Au wale viti maalumuKwa taarifa yako sio hilo tu!tutaongezea kuwa jiwe ni mzinzi kazaa na mke wa balozi wa huko mashariki ya mbali!!!
CCM ni takataka tuChadema ni hovyo kabisa.
Serikali gani Duniani huwa inafanya hivyo?Kwa nini serikali ilikataa vyombo vya nje kufanya uchunguzi...ficheni upumbavu wenu hata wageni wanasoma hizi nyunzi
CCM ni maendeleo amani na utulivu.CCM ni takataka tu
Ukikua utaelewa haya ni makubwa kuyaelewaUpo wapi ushaid wa kwamba wamepigwa na CCM Yan tunasubir mje mseme mmepigwa na serekal ili tuwaulize ushaid uko wapi
Maendeleo yako mikononi mwako na hayaletwi na hilo genge, mwenyewe umeeidhiiika na bk7 yako.CCM ni maendeleo amani na utulivu.
J.mukya? Au wale viti maalumu