Ninakumbuka Mbowe aliwahi kuomba maridhiano. Wakati ule wenye mamlaka walimdharau, watayajutia yale maneno.
Huwajui viongozi wetu au unajitia wendawazimu!Acheni kujidanganya hakuna Mwananchi anyeweza kuamua chochote, Mapinduzi yote Dunaini yana Viongozi nyuma yake, Wanananchi kama Wananchi hawajawahi kufanya mapinduzi popote pale tangia kuanza kwa Dunia hii, ...
Ccm hawana uwezo wa kushnda huu uchaguzi
Yule mental case anadai kuwa akichaguliwa kuwa Rais ataongeza mishahara ya wafanyakazi,yaani hakumbuki kuwa hata mwaka 2015 aliahidi pia![emoji1787]Halafu alisikia Tundu Lissu akinadi sera yao ya bima ya afya kwa kila mtu na yeye akaidandia kama zuzu wakati kwenye ilani yao hata haipo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa against CCM haya ndo maisha.Umeandika kinyonge, huna matumaini tena kuwa Lissu atashinda?
Huwajui viongozi wetu au unajitia wendawazimu!
Wananchi wa nchi gani unaowazungumzia manka?
Haya ndiyo mawazo yanayowapa viburi. Kumbuka watakao jitoa mhanga ni wale ambao ndugu zao wa karibu walionja mateso ya Jiwe.chadema &Co. wanashindwa na hawawezi kufanya mapinduzi au hata tu kuilazimisha CCM ikae meza moja nao na kuongea kwa sababu hawana hela, kufanya Mapinduzi siyo kazi ya kitoto, unahitaji mkwanja wa kuwalipa hao watakao hatarisha maisha yao na kuingia barabarani, kama hauna hele utabakia mikwara ya mitandaoni, ...
TrueCCM hawawezi siasa za ushindani, wanachojua ni kutawala kwa mabavu. Kama CCM wangekua ni watawala wema, wangesikiliza matakwa ya wananchi kupitia uongozi wa mashina mpaka wabunge. Kinacho wasaidia CCM ni woga wa raia...
Haya ndiyo mawazo yanayowapa viburi. Kumbuka watakao jitoa mhanga ni wale ambao ndugu zao wa karibu walionja mateso ya Jiwe.
Acheni kujidanganya, hakuna Mwananchi anayeweza kuamua chochote, Mapinduzi yote Dunaini yana Viongozi nyuma yake, Wanananchi kama Wananchi hawajawahi kufanya Mapinduzi popote pale tangia Binadamu aanze kuishi Dunia hii, na chadema &Co. wanapenda kufanya Mapinduzi lkn hawana huo uwezo, kama wangekuwa nao wangeshautumia siku nyingi sana, ...
Jana si leo, ni hayo tu.
Mradi sasa ni hakika kuwa NEC ipo upande wa ccm, sioni njia nyingine ya kutokea zaidi ya nguvu ya umma!Kama ni ushindi basi utakuwa ni ushindi haramu ambao unaweza kuhusisha umwagaji mkubwa sana wa damu ambao unaweza kusababisha vifo vingi. Hilo likitokea Watanzania tunaojitambua na Jumuiya ya Kimataifa tutamshinikiza huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kwa mauaji ya kutisha aliyoyafanya hastahili kubaki madarakani. Serikali ya maridhiano itastahili kuundwa ambayo itasimamia upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi.
Wewe jidanganye hivo sababu hujuwi wananchi wana hasira kiasi gani kwa haya yankukusanya wandunzi na wafanyakazi kwa nguvu wakati watu wamezidi kuwa masikini katika awamu hii subiri utaona na moto utaanzia Zanzibar Kesho