Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

Uchaguzi 2020 Kampeni za uchaguzi huu zimetufundisha mengi kuhusu CCM, hata wakishinda uchaguzi kwa hila siku zao madarakani si nyingi

Acheni kujidanganya hakuna Mwananchi anyeweza kuamua chochote, Mapinduzi yote Dunaini yana Viongozi nyuma yake, Wanananchi kama Wananchi hawajawahi kufanya mapinduzi popote pale tangia kuanza kwa Dunia hii, ...
Huwajui viongozi wetu au unajitia wendawazimu!
 
😂😂😂😂😂😂😂
Yule mental case anadai kuwa akichaguliwa kuwa Rais ataongeza mishahara ya wafanyakazi,yaani hakumbuki kuwa hata mwaka 2015 aliahidi pia![emoji1787]Halafu alisikia Tundu Lissu akinadi sera yao ya bima ya afya kwa kila mtu na yeye akaidandia kama zuzu wakati kwenye ilani yao hata haipo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania ilikuwa na watu wajinga wajinga! Ukiwa huna exposure nje ya Tz unaweza ona Tanzania ina watu smart, Mpaka nilipopata kwenda ughaibuni ndio nilifahamu Tz idadi kubwa ni wajinga.

Lakini muamko upo, hasa kipindi hichi ambacho mchangamano wa watu unapoongezeka.

Ukitaka kujua hili angalia sehemu kubwa ya majimbo ya mijini ndio mwamko ulipoanza wa mabadiliko.

Mbeya mjini, Iringa mjini, kigoma mjini, Arusha mjini, Moshi mjini, Bukoba mjini, Tanga mjini, Mwanza

Hapo mchanganyiko ni Mkubwa, Vijijini muamko utakuja hivi punde tuu.

Ngome Kuu ya CCM kwa sasa ni Dodoma, Singida tuu hata kanda wa ziwa kwa sasa si sanaa. Na Dodoma walikuwa wazembe kwasababu hakuchangamana sana wagogo, na hali ya ukame wengi hawakupapenda, sasa ndani ya awamu 2 zijazo changes zitakuja tuu, sasa ivi wagogo wana exposure ya makabila mengi;

Nilipata kwenda Mtera na Kongwa 2013 aisee Nafsi yangu iliumia sana, sikuwahi kufikiri kama kuna watanzania wenzagu wanaishi mazingira mbaya namna ile.
 
Huwajui viongozi wetu au unajitia wendawazimu!

CHADEMA &Co. wanashindwa na hawawezi kufanya mapinduzi au hata tu kuilazimisha CCM ikae meza moja nao na kuongea kwa sababu hawana hela, kufanya Mapinduzi siyo kazi ya kitoto, unahitaji mkwanja wa kuwalipa hao watakao hatarisha maisha yao na kuingia barabarani, kama hauna hela utabakia mikwara ya mitandaoni tu kama sasa hivi, ...
 
chadema &Co. wanashindwa na hawawezi kufanya mapinduzi au hata tu kuilazimisha CCM ikae meza moja nao na kuongea kwa sababu hawana hela, kufanya Mapinduzi siyo kazi ya kitoto, unahitaji mkwanja wa kuwalipa hao watakao hatarisha maisha yao na kuingia barabarani, kama hauna hele utabakia mikwara ya mitandaoni, ...
Haya ndiyo mawazo yanayowapa viburi. Kumbuka watakao jitoa mhanga ni wale ambao ndugu zao wa karibu walionja mateso ya Jiwe.
 
Utawala wowote huwa hauzidi miaka 40,soma historia, ccm ilikufa 2015 ikabebwa na dola na sio mioyoni mwa watz. Kila Jambo lina maana yake kinabii ujio wa corona umepelekea kukiukwa kwa zindiko la mwenge hapa masharti yamekiukwa, waliambiwa wautembeze mwenge kila mwaka ili kupumbazia akili za watz sababu wamekiuka masharti ni lzm ccm ife.
 
Haya ndiyo mawazo yanayowapa viburi. Kumbuka watakao jitoa mhanga ni wale ambao ndugu zao wa karibu walionja mateso ya Jiwe.

Hakuna kitu kama kujitoa mhanga Dunia hii, kila kitu huwa kinapangwa na huwa kuna watu nyuma ya wajitoaji mhanga, na ili uweze kufanya hilo unahitaji mkwanja mrefu, bila mkwanja hakuna kitu, na chadema hawana hela, ...
 
Hakuna kitu kama kujitoa mhanga Dunia hii, kila kitu huwa kinapangwa na huwa kuna watu nyuma ya wajitoaji mhanga, na ili uweza kufanya hilo unahitaji mkwanja mrefu, bila mkwanja hakuna kitu, ...
Jana si leo, ni hayo tu.
 
Acheni kujidanganya, hakuna Mwananchi anayeweza kuamua chochote, Mapinduzi yote Dunaini yana Viongozi nyuma yake, Wanananchi kama Wananchi hawajawahi kufanya Mapinduzi popote pale tangia Binadamu aanze kuishi Dunia hii, na chadema &Co. wanapenda kufanya Mapinduzi lkn hawana huo uwezo, kama wangekuwa nao wangeshautumia siku nyingi sana, ...

Wewe jidanganye hivo sababu hujuwi wananchi wana hasira kiasi gani kwa haya yankukusanya wandunzi na wafanyakazi kwa nguvu wakati watu wamezidi kuwa masikini katika awamu hii subiri utaona na moto utaanzia Zanzibar Kesho
 
Kama ni ushindi basi utakuwa ni ushindi haramu ambao unaweza kuhusisha umwagaji mkubwa sana wa damu ambao unaweza kusababisha vifo vingi. Hilo likitokea Watanzania tunaojitambua na Jumuiya ya Kimataifa tutamshinikiza huyo anayejiita MWENDAWAZIMU kwa mauaji ya kutisha aliyoyafanya hastahili kubaki madarakani. Serikali ya maridhiano itastahili kuundwa ambayo itasimamia upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi.
Mradi sasa ni hakika kuwa NEC ipo upande wa ccm, sioni njia nyingine ya kutokea zaidi ya nguvu ya umma!
 
Wewe jidanganye hivo sababu hujuwi wananchi wana hasira kiasi gani kwa haya yankukusanya wandunzi na wafanyakazi kwa nguvu wakati watu wamezidi kuwa masikini katika awamu hii subiri utaona na moto utaanzia Zanzibar Kesho

Mimi nakwambia uhalisia jinsi ulivyo, wananchi kuwa hasira hilo linajulikana Dunia nzima kuna Wananchi wana hasira, lkn kuwa na hasira na kufanya Mapinduzi ni vitu viwili tofauti, Wananchi kama wananchi wanahitaji Kiongozi ili waweze kufanya chochote, na kufanya chochote unahitaji mkwanja, hakuna atajayeingia barabarani huku tumbo ni tupu watoto hawajakula nyumbani, utamwambia machinga au boda boda aingie barabarani bila ya kumpa hela atakuelewa?
 
Back
Top Bottom